Uzoefu wa miaka mitano nyuma

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Matangazo mengi ya kazi wanataka watu wenye uzoefu wa muda fulani, mara nyingi wanasema miaka mitano.

The same applies kwenye mapenzi. Kama unataka kupata raha ya mapenzi, kutana na mwenza mwenye uzoefu katika hayo mambo. Aliyeacha au kuachwa. Aliyewahi kuumiza au kuumizwa. Hapa siongelei mambo ya kitandani (japo nayo yana-apply), bali naongelea jinsi mtu anavyojua kutreat mpenzi wake, ku-care, kuhandle migogoro, kuhandle wivu, matumizi ya mawasiano hasa simu katika mapenzi, nk.

Ukweli ni kuwa ukikutana na mtu ambaye hajawahi kuwa katika mahusiano siriaz na mtu mwingine kabla, then uwezekano wa ku-enjoy mahusiano yenu unakuwa compromised

Mnasemaje wanajamvi?
 
Mhhh hapa sikubaliani na hayo. Maana unaweza kumpata dada mkaanza nyie wenyewe kufundishana na mkaja yaenjoy maisha na mapenzi vizuri tuu. Sidhani kama kufurahia mapenzi au maisha ni mkutane na mtu aliyeumizwa au aliyeachwa ndo utafurahia
 
KUna watu wana akili ya namna fulani. yaani wanapenda used, hawapendi vipya, lazy man mentality of liking the cheap because of hardship in getting the new. Hata nguo kama haina harufu ya mtumba anaona haifai, lazima iwe mtumba, hata kama gari si used basi anaona si gari mpaka apate used.

I will always value a new one. Hata kama hana uzoefu na sina uzoefu tutafundishana, hakuna alieanza mzoefu.
 
hao waliokuwa na relationship before ndio wanakujaga na vimbwanga balaaa.....kama alijeruhiwa ndio kabisaaa anakaa nalo moyoni anashindwa kufocus hasira yake anaimalizia kwako wewe mpya....mie kwa vile ni mwanamke ningekuwa mwanaume ningeondoka na vitu brand new daily lol
 
Pimeni ngoma kwanza..
Eee hii itawagusa watafuta bikira.

Topic nzito inagisa kila corner
Single, wenye ndoa, friends with benefits,
Partners, etc .......
 
Kuna watu humuhumu wameolewa na kuoa wapenzi wao wa kwanza na wako kwenye uhusiano muda mrefu ina maana wao walitumia mbinu gani? hii sijaikubali, thou ukikutana na mtu aliyefanya mapenzi muda kidogo unaweza kufaidi sex coz ana uzoefu, ndio maana unaona vijana wengine wametulia na mijimama sababu wanapata dozi za uhakika
 
Matangazo mengi ya kazi wanataka watu wenye uzoefu wa muda fulani, mara nyingi wanasema miaka mitano.

The same applies kwenye mapenzi. Kama unataka kupata raha ya mapenzi, kutana na mwenza mwenye uzoefu katika hayo mambo. Aliyeacha au kuachwa. Aliyewahi kuumiza au kuumizwa. Hapa siongelei mambo ya kitandani (japo nayo yana-apply), bali naongelea jinsi mtu anavyojua kutreat mpenzi wake, ku-care, kuhandle migogoro, kuhandle wivu, matumizi ya mawasiano hasa simu katika mapenzi, nk.

Ukweli ni kuwa ukikutana na mtu ambaye hajawahi kuwa katika mahusiano siriaz na mtu mwingine kabla, then uwezekano wa ku-enjoy mahusiano yenu unakuwa compromised

Mnasemaje wanajamvi?

La muhimu ni kuwa katika mapenzi suala la uzoefu siyo la muhimu hata chembe ila kipenda roho pekee..........................na ndiyo maana waswahili husema ukiona chongo utaita kengeza.....................
 
Back
Top Bottom