Uzoefu wa kufanya kazi sudani+afghanistan

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,337
5,573
Ndugu, natamani kufanya kazi katika mataifa ya Sudani na alfghanistani katika nyanja za Mazingira na Kilimo. Ningependa kujua kama kunamtua anafanya kazi huko au aliwahi kufanya kazi huko kupitia NGos au UN agencies, aniambie mazingira ya kazi kwa ujumla. Nawasilisha
 
Duuuuuuuuuuu. Hapa nimeamini wabongo wengi tu7ko nchini na ninahisi ni wachache wenye exposure. Kwani hakuna ambaye amerespond juu ya suala langu.
 
Hata kama nna shida kiasi gani na hata ningekuwa unemployed ukinipa kazi huko sitaki,una mtoto?unaweza usirudi tena,maeneo hayo hayajatulia mkuu,going there is like diggn your own grave
 
We nenda urudi ukute kile kiwanja mbwen anamiliki papa,sofee sijui utasemaje
 
Duuuuuuuuuuu. Hapa nimeamini wabongo wengi tu7ko nchini na ninahisi ni wachache wenye exposure. Kwani hakuna ambaye amerespond juu ya suala langu.

Mazee hujauliza New York City wala U.S.A tunako pursue happiness and getting wet like Batwatch right about now , umeuliza Sudan na Afghanistan - which is like total opposite-kati ya nchi zote zilizopo.


In the final analysis I guess you arer ight, wabongo wangapi wako kanda hizo za Sudan na Afghanistan.
 
Back
Top Bottom