Uzinzi ndani ya ndoa

Tonge

JF-Expert Member
May 7, 2010
696
12
Siku moja baba na familia yake walikuwa wamekaa sebuleni huku wakipiga stori moja na nyingine, ikafika wakati Baba akamtania Mama, mazungumzo yakawa kama hivi:-

Baba: Mama Joyce wewe muoga sana hata ukisikia mbu analia wewe hulali, mimi nikisafiri unamchuka mtoto wetu Joyce unalala nae chumbani kisa unaogopa kulala peke yako.

Mtoto (akadakia): Aaah baba, wala Mama sio muoga kama wewe.

Baba: Kwa nini unasema hivyo?

Mtoto: Wewe Mama akisafiri unamchukua Dada (House girl) unalala nae mpaka asubuhi na kuniacha mimi nilale peke yangu, ndo maana nasema wewe muoga sana

Natumaini kilichoendelea hapo utakijua.Tuwe makini wajameni na uzinzi ndani ya ndoa.:A S 8:
 
Huyo Baba kayataka mwenyewe!! huh huh! nahisi alipata kishuzi na kijasho chembamba kumtoka
 
Re: Uzinzi ndani ya ndoa

mh huyo bwana atakuwa ametwangwa talaka tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom