uzinifu

Tuwe na vugu vugu !!Usilale nyumbani na kusali tu kwamba Mungu atakuletea chakula..! Zamani binadamu waliishi kwa kula matunda ya polini na wanyama pamoja na samaki ambavyo kwa wakati huu vitu hivyo kuvipata lazima utoe jasho kisawa sawa.

Kama utaendelea kuwaabudu WAKORINTHO AU WAGARATIA utaumia. Au na NYIE wote ni wakina MKAPA mwataka kumwachia MUNGU then aje awajengee majumba ya fahali ?
 
Sijui unaongea nini ndugu yangu ?

thread hii inahusu zinaa, Nawashauri ndugu zangu pamoja na kuishauri nafsi yangu kuaacha zinaa.

Zinaa maana yake ni kufanyana baina ya watu wawili ambao hawakuoana kisheria. Madhara ya uzinifu ni makubwa ikiwa ni pamoja na kuleta fitina, ugomvi na hata kuuwana. Maradhi yanayoletwa na uzinifu ni makubwa na ambayo hayaponeki. Madhara katika jamii ni makubwa na mabaya ambayo inafikia kiwango cha kaka kumuoa dada kwa kutokujua baba zao au asili yao.

Anaemzini mke wa mtu anakuwa kamfanyia dhulma mumewe, na ikiwa kashika mimba basi mtoto anaezaliwa huwa si miongoni mwao. Na ikiwa kamzini msichana hajaolewa akizaa mtoto wa haramu huwa kamwangamiza maisha yake na mustakbali wake. Na pia kamvunjia heshima yake na ya wazazi wake. Na zina imefananishwa na kumshirikisha Mwenyezi Mungu S.W.T. kwa sababu SHIRKI ni dhulma kubwa.
 
Thank you Brother
 
Kuzini ni mtu aliye katika ndoa na kutoka kwenda kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa
Uasherati ni watu ambao hawajaoa/olewa kufanya tendo la ndoa
 
point of correction...!wanafanya ngono tu!....
 
Back
Top Bottom