Uzini kulikoni??

OSOKONI

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,965
5,336
wakuu tujuzeni kinachotokea Uzini, wapiga kura wameitikia kwa wingi??
 
ni afadhali cdm wasingeshiriki kwa maana kuna maeneo wameambulia.sifuri
 
CHADEMA bado haijulikani vizuri Zanzibar. Safari bado ni ndefu. Hii ni changamoto. Hatukati tamaa!
 
Mkuu kushika nafasi ya pili si mchezo hasa kwa siasa za visiwani ambazo zinatawaliwa na CCM na CUF. Kwa maana nyingine kwa CDM kuishinda CUF ni kwamba CDM inajulikana zaidi Unguja kuliko CUF. Uchaguzi wa uzini una tafsiri kubwa sana kwenye medani za siasa huko visiwani hasa baada ya CDM kushiriki na kushika nafasi ya Pili. Huoni kwamba CDM sasa ni chama cha pili Tanzania Bara na Visiwani?
 
nilijua ccm watashinda, ila la kunishangaza cuf kuanguka sana hadi kupitwa na cdm?

kwa kweli siku za cuf kufa zimeanza kutimia
 
Mkuu kushika nafasi ya pili si mchezo hasa kwa siasa za visiwani ambazo zinatawaliwa na CCM na CUF. Kwa maana nyingine kwa CDM kuishinda CUF ni kwamba CDM inajulikana zaidi Unguja kuliko CUF. Uchaguzi wa uzini una tafsiri kubwa sana kwenye medani za siasa huko visiwani hasa baada ya CDM kushiriki na kushika nafasi ya Pili. Huoni kwamba CDM sasa ni chama cha pili Tanzania Bara na Visiwani?

Tatizo huijui znz na kujua siasa za Znz.

Kwa wanaoijua Uzini wanafahamu fika ni ngome ya CCM kubwa sana. Ni moja kati ya majimbo machache yaliyokataa Serikali ya umoja wa kitaifa ya Znz wakti wa kura za maoni.

CUF na wazanzibar kwa kulijua hilo hawakuweka vishindo katika kuligombea kwani wenyewe wapo na watapeana vijiti kama kawaida. Kuna majimbo ambapo watu wanagombania lakin kuna mengine utaona wazi ni kupotea muda na resources.

Chadema hawakulijua hilo na nafikiri wamejifunza. Kazi yote ile kupeleka viongozi wao wakuu na kuweka kambi wakti wote wa uchaguzi wameambulia chini ya 5%.

nafikiri Chadema inahitaji wapate watu makini wa kusoma alama za nyakati na sio kupoteza muda na resource zao chache kwa manufaa ya wanachama chao.

Poleni sana Chadema.
 
Muumini mtume wa UDINI zanzibar huyu hapa. Kanusha kejeli za UDINI ulizotoa kwenye thread zilizopita usituletee ngonjera nyingine hapa. Au sasa uko sober!!
 
Nafikiri Chadema wanatafuta pa kutokea.

Kwani mlijigamba sana na kuonyesha kuwa mnalichukua jimbo la Uzini.
Kumbuka statement yangu niliyoweka kule ni Kuwa Chadema kauli zenu bungeni kuhusu Znz na waZnz ndio kaburi lenu Uzini na nikabainisha wazi kwa kuwa hamsomi alama za nyakati kitawakuta kile cha NNCR mageuzi pemba 2003 na kimewapata.

sasa usitafute kujisafisha. Ni aibu kubwa sana viongozi wenu wakuu kuweka kambi na matokeo kupata chini ya 5% ni aibu kubwa na kama mchumi naona Padre alitaka posho tu ya kukaa Znz wakti alijua kuwa hakuna chao Uzini.

Nakupa pole na jipange upya ila uwe mwepesi sana wa kusoma alama za nyakati kabla hayajakufika.
 
Back
Top Bottom