Uzingizi hamna

KENYAN BOY

New Member
Aug 21, 2010
1
0
Leo nikaamka macho hayaoni eti juu ya kukaaa nikiusikiza miziki wabongo.wajua hukumarigani bongo hamna!
 
Leo nikaamka macho hayaoni eti juu ya kukaaa nikiusikiza miziki wabongo.wajua hukumarigani bongo hamna!

ulikuwa unataka usaidiweje maana hueleweki........samahani kama nitakuwa nimekukwaza
 
Hahahahahahaha! UZINGIZI....haahahahhahahahaha....mbavu zangu!!!!
Anyway, karibu sana jamvini Kenyan Boy.
 
ahahahaahahaaaa...haya mambo ndo huwa yananifanya niipende EAC na hasa ile fast-tracking yake ya maingiliano ya jamii zetu...sahivi sie tutawafundisha hawa kina kenyan boy "kiswahili fasaha"...nao in-exchange watatufundisha "Queen's english"....sasa kenyan boy...huwa hatusemi uZingizi..tunasema uSingizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom