Uzinduzi wa tawi la CHADEMA kijiji cha Misri-Geita

Compare na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam kilipofungua tawi jipya lililopo eneo la Pamba Road katikati ya jiji la Dar es Salaam.
Mambo yamebadilika...CCM sasa hivi kimekuwa chama cha VIJANA na CDM kimekuwa chama cha WaZEE! What a change!!!
View attachment 43746 View attachment 43747 View attachment 43748

Kama ukiweza kwenda katika eneo la mortangosi huko Kiteto huku umevaa hivi bila kupigwa mapanga nakuzawadia ngo'mbe dume.
 
Compare na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam kilipofungua tawi jipya lililopo eneo la Pamba Road katikati ya jiji la Dar es Salaam.
Mambo yamebadilika...CCM sasa hivi kimekuwa chama cha VIJANA na CDM kimekuwa chama cha WaZEE! What a change!!!
View attachment 43746 View attachment 43747 View attachment 43748

Mbona kama kikao cha watu waliokodishwa vile? Naona ishara zote zinazoiwakilisha CCM hapo!! Full matahira, full mafisadi!!!
 
GreatThinkers,

Kwanza nimefarijika sana na hatua mnayoipiga wana Geita.

Hiyo ndiyo kanda ya ziwa iliyotengwa siku nyingi na Si Si Em, Niko Dar hapa watu wanahangaika na mafuriko.

Cha kushangaza na Kustaabisha Serikali nayo inalalamikia wakazi wa mabondeni badala ya kuchukua hatua sasa.

Jamaa wamechoka kuongoza nchi.

Go Rogers Ruhega Go ubunge ni wako, huyo mlevi aliyepigwa Ban hadi bungeni kwa kuingia kalewa 2015 hapati kitu
 
Hongereni sana ,mie hapa nipo karagwe Iteera kuna uchaguzi unaendelea na mwenyekiti wa srikali ya kijiji kinachonitisha ni kwamba kuna watu wametoka mkoani ccm wanagawa hela .
 
Kwetu ccm kitaeleweka tu kwani katiba tutazingua isibadilike na tume ya uchaguzi itaendelea kuwa chini yetu kwahiyo watatupa ushindi ikishindikana tutatumia polic na usalama wa taifa

2015 tutapasua palepale kama Satta wa Zambia mkuu
 
Back
Top Bottom