Uzinduzi wa M4C Kanda ya Magharibi (Kigoma, Tabora, Katavi, Rukwa)!

JACADUOGO2.

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
930
217
Mnamo tarehe 22/2/20 13 Jmosi Makamanda (F. Mbowe, Z. Kabwe, S. Arfi, S. Sungura, M. Said, A. Malack nk) watalitikisa mji wa Tabora ktk uzinduzi wa M4C Kanda ya Magharibi (Kigoma, Tabora, Katavi, Rukwa)! Makamanda wote mnakaribishwa!
 
Mnamo tarehe 23/02/2013 Jmosi Makamanda (F. Mbowe, Z. Kabwe, S. Arfi, S. Sungura, M. Said, A. Malack nk) watalitikisa mji wa Tabora ktk uzinduzi wa M4C Kanda ya Magharibi (Kigoma, Tabora, Katavi, Rukwa)! Makamanda wote mnakaribishwa!
 
Ahsanteni sana wakuu wa Kanda ya Magharibi.Tuko Pamoja sana.
 
Wakuu,

Tunaitajickusikia wanachama wangapi mmepata kila mkifanya mikutano. Matawi mangapi yamefunguliwa na hakikisheni watu hao wamo ktk dafutari la wapiga kura. Wapinzani wenu wanaorodha yawapiga kura kila kitongoji-wanachofanya sasa ni monitoring na uraghai wao wa kila siku.

Itakatisha tamaa kuwa na wingi wa watu ktk mikutano wakapitikana wachache wakupiga kura.

Hayo yote yakiendelea, tujuzeni nini kinaendele ku-reform tume ya uchaguzi na updates za dafutari la wapiga kura. Kama magamba hawataki kuchukua hatua juu ya haya kwa faida yao nini cdm ifanye?
 
Mnamo tarehe 23/02/2013 Jmosi Makamanda (F. Mbowe, Z. Kabwe, S. Arfi, S. Sungura, M. Said, A. Malack nk) watalitikisa mji wa Tabora ktk uzinduzi wa M4C Kanda ya Magharibi (Kigoma, Tabora, Katavi, Rukwa)! Makamanda wote mnakaribishwa!
Umekosa jinsi ya kuleta hii taarifa maana yule jamaa wa mwanza aliyetupia picha kudhihirisha hilo alikuwa mjinga?
 
:welcome:TunawasubiriTanga make huku hamna upinzani karibu sana ili apatikane mpinzani kutoka huku panajulikana kama SHAMBA LA BIBI kila mtu anachuma nakulima
 
Safi sana maana nilikua nasubiria kuona kikosi kazi kikitua Tabora maana panahitajika nguvu ndogo tu kumuondoa nduli CCM.
 
kwa ujinga wenu hata mkishinda kiti kimoja mnaona kama mmechua nchi

Kwa akili yako hiyo hapa Tanzania haufiti kufanya kazi yoyote labda uende HOLLYHOOD marekani ukacheze filamu za PONO pimbi wewe.....HOVYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!! uwe na aibu basi
 
Umekosa jinsi ya kuleta hii taarifa maana yule jamaa wa mwanza aliyetupia picha kudhihirisha hilo alikuwa mjinga?

ndugu soma uzi vizuri, acha kukurupuka, yeye kasema tar 23/feb we unataka picha azitoe wapi na wakati mkutano bado?
 
Back
Top Bottom