Uzinduzi wa kampeni zangu (kampeni la uhakika)!!!!!!!!! Kwanini nastahili kushindaaaaa!!!!!!!!!!

Acha longolongo mingi bibie lara 1. Kam zis wei nikukague. Huezi shinda ile makitu bila kukaguliwa na mimi.

Na usisahau nna kura ya veto kwenye hii makinyang'anyiro.

Mambo za kupewa FUNGUO YA GARI, KADI UNALO WEWE LUDENGA SIYATAKIIII! Lete kadi hilo tuelewane.
 
Mambo za kupewa FUNGUO YA GARI, KADI UNALO WEWE LUDENGA SIYATAKIIII! Lete kadi hilo tuelewane.

Gari funguo bibie. Ndo maana gari waiacha nje funguo walala nayo chumbani. Kadi makaratasi tu.

Kam zis wei bibie. Unapoteza bahati yako mchana kweupeee....
 
I like coz unajitambua. Ingekua ni barua ya kaz ningekuachia ofic nzm. Nishakupigia wang... Gud luk.
 
Duuuuuuuh hizi campaign za mwezi huu zina tisha! Kuna watu wana tembea hadi na matunguli kwenye campaign!
 
lara 1,nilishakupigia saa nyingi sana,inaruhusiwa kurudia?.........huu u-miss una zawadi?maana kampeni zenu ni hipopotamus!
 
Last edited by a moderator:
I like coz unajitambua. Ingekua ni barua ya kaz ningekuachia ofic nzm. Nishakupigia wang... Gud luk.

WELCOME TO THE DREAM TEAM!!!!!!!!!! Get comfortable!!!!!!!!! Huku ni rahaaaaaaa tupu. Thanks a lot
 
Hujanitaja hapo juu kwenye thread sikipi kura yangu

hujanitaja wakati topic zako nachangiaga sana
pili mi msimba bana
tatu mi mbavicha na si muuvccm
mambo yote kwa Ciello
labda uniconvince nikaedit post nikamchakachue Ciello tell me why should i vote you?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom