Uzinduzi wa kampeni za CCM Arumeru now...

pikipiki baiskeli,bajaj,ford na waenda kwa miguu ni bendea na shamrashara za hapa na pale
 
mkuu unaesema nimechukua mlungura kwa mwigulu polesana labda hunijui...cha msingi ngoja nitaweka picha za wapinzani wetu..
 
magamba ni nooooooooooomaa,wabunge na viongozi wa ccm wamejichanaganya na wananchi hasa vijana na wote wamevalia nguo za kijani
 
hapa USA River ndio siseme,hapatoshi nyomi ya mtu hata sehem ya kupishana hakuna
 
niko hapa matejoo. Kuna fuso tatu zimejaza watu waliovalia njano na kijani huku wakiimba "nambari wani eeeee, nambari wani ni CCM" naona wanaelekea arumeru. Kweli kumekucha!!!
 
nawaona vongozi wa Uvccm mkoa wa arusha wanapita wakihamasisha watu na kipaza sauti kila kona ya USA hadi leganga na tengeru kuhudhuria uzinduzi wa kampeni
 
ntaendelea kuwajuza wakuu,ila wanasema Televisheni zote za hapa nchini zitarusha live tukio hilo
 
hapa USA River ndio siseme,hapatoshi nyomi ya mtu hata sehem ya kupishana hakuna

ukiwa muongo uwe na kumbukumbu... hakuna watu zaidi ya walio toka moduli na kwa simanjiro..ndiyo kwanza mnapita mitaa kuwaomba watu waje kumuona raisi msitaafu..
 
Mimi niko hapa maeneo ya mianzini imepita kenta wamejazwa wamama walovaa nguo za kijani na njano nao wanapelekwa kuzindua Arumeru...


hawa nasikia wamezolewa maeneo ya ungaltd.
Siku zote mtaji wa ccm ni wajinga! wanawasomba watu, lakini chadema watu wanaenda kwa gharama zao.
hapo ndiyo ujue tofauti
 
pikipiki baiskeli,bajaj,ford na waenda kwa miguu ni bendea na shamrashara za hapa na pale

niko hapa tengeru naona madereva toyo wanagombana wanadai pesa walioambiwa kupewa siyo hiyo anaewapa kiongozi wao..
 
Back
Top Bottom