Uzinduzi wa kampeni za CCM Arumeru now...

Ili kuwa fair nitawaletea picha za uzinduzi wa CCM...kama kuna ambae ameshafika sehemu ya tukio atupie hapa....

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Picha zinaonyesha hali si njema.....
 
Tunawashukuru kwa dhati Wana Arumeru wote wake kwa Waume kwa kukiunga Mkono chama Tawala CCM katika uzinduzi wakw wa kampeni kwa jinsi mlivyojitokeza kwa wingi ni Ishara ya ushindi kwa CCM. CCM Daima mwanzo mwisho
 
Mkuu hujaeleweka hebu tuwekee picha tafadhali!
 
Tunawashukuru kwa dhati Wana Arumeru wote wake kwa Waume kwa kukiunga Mkono chama Tawala CCM katika uzinduzi wakw wa kampeni kwa jinsi mlivyojitokeza kwa wingi ni Ishara ya ushindi kwa CCM. CCM Daima mwanzo mwisho

Halafu wewe lazima utakua yule demu wa zamani wa Jaffarai.
 
mtu alisema CCM itakufa keshokutwa tulimwambia amekosea CCM ilikufa 2005 ilipomchagua JK kuwa raisi!
Haya ni matanga tu..................aibu lile basi la Kondoa lile nalijua duh! wametoa watu kondoa!
 
sasa kama chama tunaanza kuachia picha za tukio zima zitakazowafadhaisha mashabiki na wanachama wa CDM. Sasa Angalia Chanel Ten Uone malaki ya Watu waliohudhuria Mkutano wa leo wa kumtangaza Sioi kuwa Mbungw wa arumeru east
 
kwa upande wa huku kaskazini wapare bado wanahitaji elimu ya uraia wabadilike na kuzijua haki zao na hatimaye kujiunga na wana mabadiliko, huu mvumo wa mageuzi unaoongozwa na cdm bado haujapenya masikioni pao kabisa!!
ni kweli kabisa
 
ukweli ni kwamba waliohudhuria (1 ) ni watoka mbali km Mwanga,loliondo nk. (2) wakazi wa arumeru waliohudhuria walifata muziki wa live band uliokuwa unapigwa uwanjani hivyo si vyema kwa ccm kujivuna mana kwa vyovyote imekula kwao
 
@ Crashwise mi nataka mutuambia phisical appearence ya che nkapa ilikuwaje ,Mwigulu Komba jamani mbona hamtupi updates
 
Kama tukitaka kuangalia wingi wa watu. Basi CCM kwenye uzinduzi wao walikuwa na wananchi wengi zaidi. Sina uhakika na tuhuma kuwa wamewaleta kwa malori.. au wanawalipa pesa
 
Back
Top Bottom