Uzinduzi wa chadema katika picha

Mkuu ukiweza kupata picha ya hayo malori hiyo jtatu tupia humu!! no way out ccm hawawezi fanya mkutano bila kubeba watu hilo nimeliona ktk mikutano yao yote:bump2:
Ninavyo ichukia CCM siwezi enda kwenye mkutano wao ila nitajitahidi kuweka rada......
 
Masikini we! Yaani pamoja na kubeba watu Moshi, Hai, Arusha nk bado ndo mkutano umedoda hivi? Umezidiwa hata na mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kata Mwanza, Aibu!!! Subirini mafuriko Jtatu ndo mtajua CCM mziki mkubwa!

Hivi inawezekana ikawa wewe ni Nape huyu katibu katika ccm? Ndio unatoa maneno haya? Kama ni wewe basi jamii ya jf haina budi kukusakama kwa post na mababdiko yako. Kama ni wewe, basi huna hadhi ya kuhurumiwa kwa kauli zako kinyume na cheo chako
 
Duh kweli wajinga wali wao,wapiga kura hapo ni chini ya asilimia 30. Na igunga ilikuwa hivi hivi

Duuuuuu ....mbona sioni watoto hapo yaani inamaana CCM hawakuita watoto leo kweli wanazidi kusonga mbele......ama... kumbe nilikuwa naota kwa kuandika..Pipozzzzzzzzzz Poweeeeeeeeeeeer, CCM mtaisoma namba ya T2015CDM masajiri analazimisha kuwabeba lakini hawabebeki.shame on you CCM a.k.a Magamba +Mafisadi +mauaji
:A S 100::fencing:
 
Baba yake Nasari ni mchungaji huwezi kumuwekea mashariti ya kutokutembea na bible kama ilivyo kawaida yake kwanza siyo lazima yeye awechadema unaweza kuta kwenye siasa hayuko.....
Ni mchungaji, ndio, lakini hapo hajaja kueneza Injili na kugawa biblia, amekuja kwenye shughuli ya kisiasa. Na kama yeye sio CHADEMA hiyo ndio mbaya zaidi maana anaumiza taswira ya chama wakati hana interest wala msaada wowote kwa chama.

Hakuna haja ya CHADEMA kupamba majukwaa ya kampeni kwa paraphernalia za ukristo, it will not help shed the image of CHADEMA being an all-christian party.
 
Back
Top Bottom