Uzinduzi wa chadema katika picha

Masikini we! Yaani pamoja na kubeba watu Moshi, Hai, Arusha nk bado ndo mkutano umedoda hivi? Umezidiwa hata na mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kata Mwanza, Aibu!!! Subirini mafuriko Jtatu ndo mtajua CCM mziki mkubwa!
Hivi huyu ni Nape kweli? Naanza kama kumuamini amini alipomkana huyu mtu wa JF kuwa sie yeye. National Spokesperson wa Chama Cha Mapinduzi hawezi kuruhusiwa kuja Jamii Forums ku post mipasho mipasho namna hii, sidhani kabisa.

Anyhow, CHADEMA safari hii mko kwenye home turf, mnaweza kutuwekea picha za mikutano na misafara all you want lakini anything short of victory at your own heartland chama kitaumia vibaya mno.
 
tatizo sio umati wa watu bali ni watu kwenda kupiga kura kumchagua kiongozi makini, muadilifu na muajibikaji.
 
NAWASUBIRI MJE MBUGUNI! Wamalize karata ya mwisho ccm walambe joker!
 
Picture 003.jpg
Picture 004.jpg
Picture 005.jpg
Picture 007.jpg
Nasari akiwa na wazazi wake...
Picture 011.jpg
Picture 012.jpg Nape tuna subiri fiesta jumatatu.....
 
Kwa wale ambao hawata bahati kuangalia Startv basi tutarusha tukio zima kwenye youtube na tutaziweka hapa.....
 
Masikini we! Yaani pamoja na kubeba watu Moshi, Hai, Arusha nk bado ndo mkutano umedoda hivi? Umezidiwa hata na mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kata Mwanza, Aibu!!! Subirini mafuriko Jtatu ndo mtajua CCM mziki mkubwa!

Mkuu kama kweli ni wewe umeandika huu upuuzi nimekushusha thamani sana.Nimekuwa nikifurahishwa sana na jinsi Mwigulu anavyojibu hoja za wanachadema hapa jamvini.Ningekushauri umuombe ushauri Mwigulu namna ya kujibu hoja.
 
Ukipendwa hutumii gharama...nimeshuhudia leo watu wameenda kwa nauli zao ,,,,waliokuwa leganga(usa-river) waliona hilo pale maeneo ya transit watu walikuwa wanakula vyakula na vinwaji kwa gharama zao...............................lililonisikitisha tu ni kusikia mgombea wa ccm bwana sioi katoboa masikio..hii ni aibu
 
Masikini we! Yaani pamoja na kubeba watu Moshi, Hai, Arusha nk bado ndo mkutano umedoda hivi? Umezidiwa hata na mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kata Mwanza, Aibu!!! Subirini mafuriko Jtatu ndo mtajua CCM mziki mkubwa!

Hao mnaoenda kuwapa elfu kumikumi na kuwasomba na malori huku mnawapa burudani toka ze komedy hadija kopa, n.k
 
Masikini we! Yaani pamoja na kubeba watu Moshi, Hai, Arusha nk bado ndo mkutano umedoda hivi? Umezidiwa hata na mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kata Mwanza, Aibu!!! Subirini mafuriko Jtatu ndo mtajua CCM mziki mkubwa!

Roho inakuuma,wivu.....hapo povu linakutoka.
 
Masikini we! Yaani pamoja na kubeba watu Moshi, Hai, Arusha nk bado ndo mkutano umedoda hivi? Umezidiwa hata na mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kata Mwanza, Aibu!!! Subirini mafuriko Jtatu ndo mtajua CCM mziki mkubwa!

nape hii ni id yako?au kuna mtu kaiba?napata wakati mgumu kuhamini kuwa na wewe utashiriki kwenye kampeni za sioi wakati unajua kabisa hilo ni zao la ufisadi.
Swali je ushiriki wako kwenye hizi kampeni ni kwamba na wewe unasupport ufisadi?

"Nikukumbushe tu mkopeshaji awezi kuwa mtetezi wa mkopaji"
 
kitu kikishakuwa chako hukinunui tena ila utakigharimia kukitunza ndo chadema, sasa wanachama na wapenzi wa chama watakigharimia kwa hiari yao bila shuruti ili kitimize malengo yanayotarajiwa na wananchi. wananchi wana imani kubwa mno kwa sababu ya utendaji ulio dhahiri kwa kila mwenye kufuatilia.
 
:lock1: Kizuri hujiuza na kibaya hujitembeza kila kona kutafuta wateja....CDM and CCM respectively....!!!!
 
hiyo ya kutoboa masikio imekaaje? Ametoboa kama mmasai au ile ya kuvaa kihereni???

ni ile ya cameron..hii ni mbaya kwa mwanaume.tetec ziliz0p0 ni kuwa huyu jamaa kaishi sana wingereza..hajua hata hospital ya wilaya iko wap
 
:lock1: Kizuri hujiuza na kibaya hujitembeza kila kona kutafuta wateja....cdm and ccm respectively....!!!!
hapo kwa ccm no..hawa jamaa wanajitembeza sana..tunategemea hiyo j3 kutapikwa pilau la ukwel...comed bila kukosa..wasanii wa kila aina.....cdm leo hapakuwa na burudani yoyote ile
 
Mkuu kama kweli ni wewe umeandika huu upuuzi nimekushusha thamani sana.Nimekuwa nikifurahishwa sana na jinsi Mwigulu anavyojibu hoja za wanachadema hapa jamvini.Ningekushauri umuombe ushauri Mwigulu namna ya kujibu hoja.

Mkuu nashukuru na wewe kuliona hili, umenena nililotaka kumwambia Nape
 
:bump2:Viva CDM big up Crashwise kutu update ambao tulikuwa mbali na eneo la tukio, tumefell as if tulikuwa kwenye tukio, ndiyo raha ya sayansi na teke linalokuijia. Together as ONE, mwisho wa siku, tunashinda.......!!!!!!!!??????
 
Alafu mkiangalia picha vizuri, yani hapo wote ni wapiga kura. Pia hakuna aliyepewa Kofia wala Kanga! Na wote wamekuja kwa miguu yao! Hakuna malori hapa!
nyie CDM mnachukua watu kutoka moshi na arusha then mnajifanya kupitisha michango kuwahadaa wana ARUMERU Dawa yenu ni kuwashtaki kwa wanaarumeru hapo ni ccm tu,hakuna rangi mtaacha ona
 
Back
Top Bottom