Uzinduzi wa CHADEMA Arumeru: Haijawahi kutokea - WAMERU wasema kesho watatoa UTABIRI WA NANI MSHINDI

chachana

Member
Aug 4, 2011
57
92
- Mkutano kurushwa LIVE na STAR TV na pia kurushwa LIVE kupitia Internet CHADEMA TV (Online)
- Maandamano ya kufa mtu - Kutoka njia mbili: USA river na KIKATITI.
- HELCOPTER (CHOPPER) mwanzo mwisho
- WASHILI na WAZEE wote kuhudhuria na kumtamka rasmi mgombea wa CHADEMA Joshua Nassari kuwa ndio chaguo lao
- Hivi sasa Watu kutoka pande zote za jimbo la meru wanaanza kufika USA kwa ajili ya uzinduzi
- Wapiganaji kutoka Karatu, Longido, Moshi, dodoma, Zanzibar, DSM na maeneo mengine wameshafika na wengine kufika kesho kujiunga na kambi
 
- Mkutano kurushwa LIVE na STAR TV na pia kurushwa LIVE kupitia Internet CHADEMA TV (Online)
- Maandamano ya kufa mtu - Kutoka njia mbili: USA river na KIKATITI.
- HELCOPTER (CHOPPER) mwanzo mwisho
- WASHILI na WAZEE wote kuhudhuria na kumtamka rasmi mgombea wa CHADEMA Joshua Nassari kuwa ndio chaguo lao
- Hivi sasa Watu kutoka pande zote za jimbo la meru wanaanza kufika USA kwa ajili ya uzinduzi
- Wapiganaji kutoka Karatu, Longido, Moshi, dodoma, Zanzibar, DSM na maeneo mengine wameshafika na wengine kufika kesho kujiunga na kambi
Chadema ni nomaaa, tunashambulia kotekote, aridhini vs angani, naona magamba wamesoma alama za nyakati wameamua kusogeza mbele ratiba yao ya ufunguzi mpaka jumatatu tarehe 12, ha ha ha ha h h ha
Hakika uchaguzi huu utatoa fundisho kwa magamba. Lets wait
 
Mkutano tuhudhurie na tuwe makini tusije tukafanya kosa la kutsababisha mtu kuwekwa ndani kwani wabaya wetu hutafuta vya kuegemea.
  • Tusimtukane wala kumchokoza mtu
  • Tusifunge barabara
  • Tusilewe
  • Tusibeze chama chochote lakini tuseme ukweli
  • Tushangilie kwa hamasa kubwa
mwisho tunza kadi yako ya kura na usikubali kununuliwa kwani nasikia CCM wamejipanga kuwahonga mawakala wa CDM laki 5 ili kura zibadilishwe. Tusikubali mtu atununue ili atutese.
Asiye na kadi hakikisha unatoa elimu nzuri kwa mwenye kadi.
HATUTAKI KUPINDULIWA TUNATAKA DEMOKRASIA NA MAENDELEO.
 
Nimempigia jamaa wa star tv kaniakikishia kuwa crew ya live coverage ipo njiani inaelekea Arusha hivi sasa, yaaani kesho ni LIVE bila chenga, kesho Arumeru Mashariki patakua hapatoshi. Viva Chadema.
 
Chadema mmeanza tambo zenu. Hatutaki kusikia mambo ya kuchakachuliwa mbele ya safari. Badala ya kujipanga kusimamia na kulinda kura zenu nyie mnakazana kushabikia umati wa watu.
 
Habari zenu wana-JF,

katika kuonyesha chama cha chadema kimejipanga vyema kwenye kampeni za Arumeru Mashariki licha ya mipango mingine mingi kukaa vyema Uzinduzi wa kampeni utakao fanyika Usa river kwenye uwanja wa shule ya msingi Leganga utakaofanyika kesho(Tarehe 10-09-2012) utarushwa moja kwa moja na kituo cha startv cha mjini mwanza lengo kuu ni kuhakikisha watu wote waliko nje ya mikoa jilani na nje ya nchi wanapata kufatilia kampeni hizo...

mkutano huo utakao tanguliwa na maandamano yatakao anzia Shangarai na mengine yakianzia KIA mpaka Leganga utaanza kurushwa hewani kuanzia saa tisa alasiri mpaka saa kumi na mbili jioni...kwa wale milioko mbali au nje ya Tanzania au kwa wale ambao hawataweza kufika kwenye uziduzi huo tupieni macho kwenye kituo cha Star Tv.

Imethibitishwa na kampeni mejana Kamanda vicent Nyerere pamoja na mbunge mtalajiwa Joshua Nasari.


Na wasilisha
 
Nimeongea na mgombea ni kweli Star TV wanarusha live kuanzia saa tisa na nusu hadi saa kumi na mbili
 
Halafu kisingizio chao ni kwamba kwani hamuoni siku hizi kila siku Umeme lazima ukatike? Kwa hiyo si hoja kwa siku hiyo umeme kukatika. Magamba wanagoma tu kuingia kaburini lakini walishajifarikia zamaaani!!
 
Habari zenu wana-JF,

katika kuonyesha chama cha chadema kimejipanga vyema kwenye kampeni za Arumeru Mashariki licha ya mipango mingine mingi kukaa vyema Uzinduzi wa kampeni utakao fanyika Usa river kwenye uwanja wa shule ya msingi Leganga utakaofanyika kesho(Tarehe 10-09-2012) utarushwa moja kwa moja na kituo cha startv cha mjini mwanza lengo kuu ni kuhakikisha watu wote waliko nje ya mikoa jilani na nje ya nchi wanapata kufatilia kampeni hizo...mkutano huo utakao tanguliwa na maandamano yatakao anzia Shangarai na mengine yakianzia KIA mpaka Leganga utaanza kurushwa hewani kuanzia saa tisa alasiri mpaka saa kumi na mbili jioni...kwa wale milioko mbali au nje ya Tanzania au kwa wale ambao hawataweza kufika kwenye uziduzi huo tupieni macho kwenye kituo cha Star Tv.
Imethibitishwa na kampeni mejana Kamanda vicent Nyerere pamoja na mbunge mtalajiwa Joshua Nasari.


Na wasilisha
Tanesco mpo!! play your part yasije wakuta yaliyomkuta Tido Mhando
 
Nami nathibitisha,pamoja machalii angu,sisi hatukodi malori ya kubeba wameru toka ndoombo na ulong'a,they come themselves
Majivuno haya hata Igunga ilikuwa hivi hivi.Tusubiri tuone usihesabu vifaranga kabla ya kutotolewa Mkuu!!
 
Back
Top Bottom