Uzinduzi wa CCM jumatatu utakuwa live TBC

Who is Mkapa huyu bepari mkubwa na mwizi mkubwa wa aridhi yetu huko Arumeru amejilimbikizia aridhi mahekari kwa mahekari atawaeleza nini wameru wamwelewe wao hawana aridhi yote kachukua Mkapa na marafikizake hana jipya huyo.
.

Mi Mkapa namhofia sana katika Kampeni zake kumtetea Mgombea fulani,huko Arumeru kura zitaibiwa TU. MKAPA anatujua waph Watanzania pa kutukamata kuliko JK
 
haina haja ya kubishana sana ingependeza tuwe wote kwenye uzinduzi wa kampeni kama tulivokuwa wote jana kwa nassari . Hapo ndo utajua uwezo wa sioi upoje .

Pilau vp itakuwepo?na nyama je wamedondoshwa ng,ombe wangapi?maana katiba mwenezi hajasema kuhusu ilo!
 
Kuna tetesi kwamba uzinduzi wa Ccm siku ya jumatatu utarushwa live na television ya taifa Tbc.
Source. Jamaa yangu ndani ya Tbc
my take: kama uchaguzi huo utarushwa live na tbc wakati leo hawajarusha ufunguzi wa chadema basi itaendelea kuleta tafsiri mbaya zaidi katika taasisi hiyo ya serikali
He he heeee nilijua tu CDM lazima mtatetemeshwa na uzinduzi wa CCM. Nyie hamna hela mnataka mrushiwe bure? CDM imefilisika yatembeza bakuli kupata huruma ya wananchi. Sabodo upo wapi uwaokoe CDM?
 
haina haja ya kubishana sana ingependeza tuwe wote kwenye uzinduzi wa kampeni kama tulivokuwa wote jana kwa nassari . Hapo ndo utajua uwezo wa sioi upoje .
Kumbe uwezo wa mtoboa sikio uko kwenye idadi ya watu watakao bebwa na maroli na waliovimbiwa pilau ya bure? haya ni maajabu !
 
tbc imepoteza mvuto kbs. Hawa ccm ni wa2 wa fitna sana, wamemtoa Tido kwa kuwa atleast alipenda fair play, hali ambayo wahafidhina hawa hawakuipenda.
 
Kuna tetesi kwamba uzinduzi wa Ccm siku ya jumatatu utarushwa live na television ya taifa Tbc.
Source. Jamaa yangu ndani ya Tbc
my take: kama uchaguzi huo utarushwa live na tbc wakati leo hawajarusha ufunguzi wa chadema basi itaendelea kuleta tafsiri mbaya zaidi katika taasisi hiyo ya serikali

TBCCM bwana wwako kimagamba ndo maana wakaamua kumvua gamba TIdo muhando
 
Back
Top Bottom