Uzinduzi wa album 'Sifai" ya TID Bills

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • DSC_0351.JPG
    DSC_0351.JPG
    61 KB · Views: 411
  • DSC_0377.JPG
    DSC_0377.JPG
    54.6 KB · Views: 566
  • DSC_0407.JPG
    DSC_0407.JPG
    60.6 KB · Views: 413
  • DSC_0362.JPG
    DSC_0362.JPG
    63.2 KB · Views: 565
  • DSC_0277.JPG
    DSC_0277.JPG
    79.1 KB · Views: 406
katika watoto wa bongo flava ambao walikuwa wananikosha katika muonekano wa kimavazi ya kinyamwezi alikuwa huyu TID kwakweli alikuwa anawabururuza sana wenzake ila miaka ya karibuni naona kapoteza mwelekeo wa pamba ameanza kuonekana kama mzaire..nahisi fally ipupa kamuharibu!
 
Naona n Frank Mtao hapo ana kitu cha ukweli

NI kweli Frank anakitu cha ukweli ila tutaishia kutambulisha kwenye club tu kule kwetu ismani hawawzi kutuelewa...... na style za vichupiiiii!!!! haya bwana ndo vioo vyetu vya jamiii!!
 
Uzinduzi wa sifaii kwenye bongo flever ..... nafaaa kwenye kidole juuu
 
TID si alifungiwa Bills baada ya mtafaruku wawke na Hasheem? Vip aliyekuweko atupe tathmini ya mahudhurio, make siku hizi mahudhurio Bongo Fleva yameshuka kiasi cha kuchanganya taarab taarab ili watu waburudike kidogo.
 
attachment.php



huyo wa kushoto mwenye t shirt nyeusi ni demu? au? kama ni demu basi dada zetu wana undo go evolution
 
He came from long way, kwel ni Top in Dar! Nilikuwa nasikiliza interview clouds fm mchana kabla hy launch ya Sifai album, anastahili pongezi ingawa kwa kweli wanahtaji support ya kuzuia kuibiwa kazi zao! .
 
Khaaa iyo mijimama hahha haha sina lakuandika'

Ila TID mbona umewavalisha madensa wako wa kiume masweta jmni na joto la bongo kuchangia na kucheza mziki mhhh,

Hongera sn
 
attachment.php

Hapa nawaona maharusi watarajiwa ambao send off inafanyika kesho 02-01-2011, Elizabeth na Kevin ambaye kaficha sura na mkono. I like the couple
 
Wabongo kwa shangwe hatujambo ,wote hawa wanalalamikia katiba sijui inawazuia nini kwenye
mambo yao haya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom