uzinduzi uzinduz; video albulm st augusino choir UDSM

Feb 8, 2011
14
2
Mnakaribishwa katika uzinduzi wa video album ya st augustino choir UDSM main campus itakayofanyika katika ukumbi wa nkrumah siku ya tr 6 yaan jumapili ijayo. Itakuwa ni full burudani kwaya nyingine nyngi na bendi maalumu. Usipange kukosa sababu utasimuliwa sana.
Karibuni sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom