Uzinduzi rasmi wa JF Aprili 2010

Status
Not open for further replies.
Poleni sana viongozi na wataalamu wote wa JF kwa kazi ngumu mliyofanya hadi kufanikisha mradi huu. JF sasa hivi iko cool kwelikweli. Asanteni sana kwa kurudisha kijiwe hiki hewani tena.

I guess invisible, de-melo, silencer, brutus na wengineo nyuma ya JF hamkupata hata nafasi ya kusheherehekea siku yetu ya watanzania (wajinga) April mosi. Support yangu kwa juhudi hizi iko njiani mtaipata baada ya wikiendi hii huko Moneygram - Information zaidi zitafuata kwenye PM zenu next week.
Mkuu Kichuguu,

Shukrani sana kwa info hizi; natambua kuwa fonts zinazoonekana kwa sasa huenda zinawaumiza mlio wengi, tunalifanyia kai hilo haraka zaidi ya mengine.

Kwa wengine, wakuu tumeamua kuiweka JF hewani ili discussions muhimu ziendelee, marekebisho yataendelea chini kwa chini, mtaona vitu vikibadilika ghafla lakini in a positive way. Baadhi ya vitu kwenye navbar havifanyi kazi vema, ikiwa ni pamoja na kutokuwepo nyimbo zilizozoeleka, tunayafanyia kazi haya yote.

Kwa wanaotaka kutangaza JF, tutaweka rates na locations za matangazo ili ziwe public.

AHsanteni wakuu
 
Hongereni sana JF Administration...................maana kulikuwa na na risk ya baadhi ya wanaJF kuanza kuzoea kutoiona JF............mmefanya vyema kuirudisha sasa hivi..............nawatakieni kila la kheri katika kuweka sawa sehemu zilizobaki.........
 
Mbona nilianza kukonda!..bora mko online sasa, japo naona kama iko ndivyo sivyo; natumai mnaendelea na kazi na hii sio fainal.
Good luck!
 
Kwa kweli wakuu nawapa pongezi ya dhati kabisa.Kwa kweli kuikosa JF kwa siku hizi zote haikua jambo rahisi.Yaani nimejikuta hata nikijisahau na kudhani JF ni haki yangu ya msingi tena,kwa kweli congrats wakuu kwa shughuli nzito.Suala la michango nasubiri kumaliza pepaz ndo nione utaratibu ,kwa kweli najiskia kudaiwa

Owise,bravo wakuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom