Maria Roza
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 6,797
- 1,567
Hongereni sna Mungu azidi kuwabariki jamni im in luv wit JF!
Poleni na majukumu... Tupo Pamoja...!Heshima zenu wakuu,
Baada ya kwikwi za hapa na pale (marekebisho ya nguvu), leo tumehitimisha kabisa sehemu ambazo tunaamini zilihitaji marekebisho ya nguvu (kwenye server). Tunasikitika kwa usumbufu uliojitokeza na kuwashukuru kwa uvumilivu wenu! Tunaamini kuna utofauti mtaugundua na mtaendelea kutupa ushirikiano huku tunakoelekea.
Tunatarajia rasmi kuizindua JF mpya mwezi Aprili, 2010 ikiwa na sura mpya na vitu vipya.
Tunakaribisha maoni, mapendekezo na ushauri wa nini kifanyike zaidi...
JF ni zaidi ya hapo... JF iwe ya kimataifa zaidi, kama si Afrka mashariki na ya kati.Thanks for a job well done - and all this without us paying a dime!!
Sasa, ninapendekeza pia katika "new look" JF itakayoanza Aprili msisahau kama kutakuwa na bendera ya Tanzania, kuweka rangi ya bluu ikae chini na kijani juu
Kwa niaba ya wenzangu (wawili, mimi wa tatu) napenda kuwashukuru wote mliotuunga mkono tangu tunaanza na mnaoendelea kutuunga mkono tunakoelekea. Tunaamini katika ushirikiano mengi yanawezekana!
Forum kama hii ilipaswa kuwa na mod si chini ya watano (5)...Kwa niaba ya wenzangu (wawili, mimi wa tatu) napenda kuwashukuru wote mliotuunga mkono tangu tunaanza na mnaoendelea kutuunga mkono tunakoelekea. Tunaamini katika ushirikiano mengi yanawezekana!
Tunakaribisha maoni, mapendekezo na ushauri wa nini kifanyike zaidi...