Uzinduzi antivirus mixtape 26/11/11

greetthinker mbona kila ukiandika post unamalizia na yooo au ww ni Adam mchomvu kutoka wafu fm kwa ru gay
 
ninaposema kundi namaanisha ni mkusanyiko wa watu of the same interest the same as Genge. Kundi sometimes refer as Genge.

Najua hizi movement kabla walizianza Kikosi Cha Mizinga, ila walishinda.

Sijaelewa unaposema kikosi walishinda.nadhani ni typing error

kuhusu lile swali lako cloudsfm,mbona hawa jamaa wanawalaumu wao tu!wakati kuna radio station kibao..ni hivi,hii redio na kampun yote kwa ujumla ina nguvu sana kwa sasa ilo hakuna anayeweza kubisha,sasa wanachofanya ni ku-control hii sanaa kwenye kila angle. Wanaushawishi mkubwa na wanautumia uo ushawishi kunyonya na kuibia wasanii na kazi za sanaa..wanachofanya ni kuwajengea UOGA wasanii na wadau wengine wa sanaa wasithubutu kudai haki zao au kuingilia dili mbalimbali za pesa zinazohusu sanaa,uku wakijitamba wao ndio wanasaidia wasanii..ivo hawa ndio mapapa wa wizi wa sanaa ivyo ukiweza kuwadhibiti hawa ata vidagaa vingine inakuwa raisi kudili navyo..
Ngoja nikupe mfano,kuna siku moja kitambo cha nyuma kidogo ata Sugu ajawa mbunge,kulikuwa na lile sekeseke la ishu ya malaria kati ya Ruge na Sugu,baada ya uyu Ruge kutumia sana redio yao kupotosha ukweri,kina Sugu wakaomba kupewa nafasi east africa radio waujulishe umma kinachoendelea,akakubaliwa kufanya interview yeye na wenzake..kilichofuata Sugu,Mkoloni,Gsolo,Mapacha,Dan msimamo na wengine wakafika studio,ilikuwa ijumaa usiku,kipindi cha friday night live,muda mchache kabla ya interview kuanza ikapigwa simu kwa dada mmoja pale ea radio nadhan ni mkubwa wa vipindi,sikumbuki vizuri(simu ilitoka kwa ruge na wanamtandao wake kina january)..yule dada ghafla akawafuata na kuwaambia hawataweza kufanya mahojiano siku ile,ila kama wanataka kuzungumza wasigusie kabisa ishu ya malaria na zinazofanana na izo..nafikiri unaanza kupata picha jinsi gani hawa jamaa wana nguvu na walivyopenya kila kona...alafu unataka wasitukanwe!!??
 
Hebu angalieni na sikilizeni huu uchafu wa mbunge wa chadema kwenye hii link hapa chini!!
SUGU ANTI VIRUS
Of course this is HIPHOP I mean HIPHOP! On top of that a mixtape! Big deal? Nothing! because you know nothing about real Hiphop!! Sugu a hiphop artist and MP! wrong with that?
 
zay b na sister p on the stage ni muda wa kuwakomboa wasanii wanavalishwa tu matishet ya makampuni then hawalipwi sugu kama mnakumbukumbu alianza kugombana na kina mamu kwenye malipo ya album hajaanza movement leo.antivirus inascan wote ncha butu dj feki dj mwizi madam mchovu bibi twelve
 
Kwa maandsh yako tu nshakujua wewe n nan?tuache hayo..kwan cfa ya kuw kneg lzm uwe na matusi?Hv kat ya vineg.a nan anayejua hiphop?hkuna hta m1..Iv mbunge ana muda gan wa kupoteza na kukaa kuanza kuandka matus badala ya kutatua matatzo ya wananch yake?..kama mnabaniwa na cloudc nymbo zenu znapgwa na radio gan?kama mnanyonywa na soko la ndan..iv i sugu c alikuwa marekan?kwa nn hakutoka?au soko la marekan lmetekwa na ruge? Am Anti Anti-Virus...yoo


wewe ni aunt virusi. Hata hvyo mi mwenyewe nimeshakutambua. Endelea tu kuwatetea mabwana zako waliokuhonga.
 
ninaposema kundi namaanisha ni mkusanyiko wa watu of the same interest the same as Genge. Kundi sometimes refer as Genge. Najua hizi movement kabla walizianza Kikosi Cha Mizinga, ila walishinda.
Hata kama walianza kikosi cha JWTZ,nasasa ni Sugu,Ficha upumbavu wako usifiche hekima yako,unafurahia wasanii wanavyo nyonywa? Kichwa yako lazima itakuwa inamatatizo sio bure...
 
Anselm Soggy The-Entertainer
‎-Baada ya kutosikiliza Radio yao kwa muda mrefu leo asubuhi nikasikiliza kumbe kiji-show chao wame-copy LIJI-SHOW LETU?Unazungumziaje Majembe ya hip hop Bongo bila Sugu,Soggy,Mabaga,Mapacha,Hardmad,Big Doggy Pose,Suma-G,Mkoloni,Sister-P,Hisabati,Snare,Daz Nundaz,Rama-Dee na wengineo?Hii Radio ya Wafu si inapromote Wasanii wapya tu?Imewakumbuka nini wa zamani?Nov 26 njoon i Chuo cha ustawi kiingilio elfu 5 tu


app_2_2254487659_1473.gif
Share · Yesterday at 9:27am via BlackBerry ·


  • 23 people like this.



    • Mark as Spam

      Ntukula Boaz tunakuja kaka.na siku hiyo machoko wa magorofani na teja lao dmx watasanda na mziki mnene na full mataa on stage kudadadekiYesterday at 9:30am





    • Mark as Spam

      Fredy 'Tayasar' Mizambwa Ha ha ha! Vnega nuxYesterday at 9:34am




    • Lyamuya Chif Zeph naamini Mungu husimamia haki tarehe 26 hawa mavirus lazima wakae najua watafanya mipango kuharibu lakini Mungu atatusimamiaYesterday at 9:35am


    • Paul Joseph Tarimo Mia mia vinega lazma ntie timYesterday at 9:35am


    • Eric Shiyo sana tu lazima tukinukishe 26 Nov!Yesterday at 9:46am


    • Dravic Kinega Moudy AFU NA YULE ANAJIITA AFANDE MBNA CMSOMI!?Yesterday at 9:50am


    • Aliko Mwaikambo wanafiki hao soggy cos mbona ni muda mrefu sana wamewatenga so kama na hao wanao jiona kuwa ni vigeugeu maana ita kula kwao kwa vipesa vya siku moja badala ya kukomalia mziki wa kweliYesterday at 9:56am


    • Aliko Mwaikambo na pia watakao kwenda huko ni wauza sura 2 hata afande anatakiwa kuwana mkubwa wake cos anasahau sugu aliko mtoaYesterday at 9:57am


    • Dravic Kinega Moudy MARCO' WE NDO UJIPANGE! HUJUI UNACHOKIANDKA CHUNGUZA KWNZAYesterday at 9:58am


    • Jackline Charles Marandu duh! Yesterday at 9:59am


    • Anselm Soggy The-Entertainer Dravic huyo Marco ndio sio Mzalendo nimeamua kum-removeYesterday at 9:59am · 2McGum Cippo and Dravic Kinega Moudy like this.


    • Dravic Kinega Moudy KTK RATBA MWNZO HAWAKUWEKA LIST Y WASANII WALIOPTA WIKI HII NDO WAMEWAONGEZA' HAHAHAHA, SHAME ON ZEM WAAAFU FM!23 hours ago


    • Matilda Kivelege Nawaombea ktk hili....ebu tuonyeshe uzalendo wenzetu coz wakilipa kodi wote twapata ama sio. Zay B wapi kwani?23 hours ago


    • Jane Vanila Teh!23 hours ago


    • Peter Dafi Yer, vinega wa Ant-virus km kawa harakati co? Big up Jembe...23 hours ago


    • George Tibaijuka Afande ni maku kwel kwel yaan sugu kamtoa mbal anashindwa kusupport alakati?Ila pamoko vinega never give up23 hours ago


    • Dravic Kinega Moudy MATILDA' ZAY B NDANI J'MOS23 hours ago


    • George Tibaijuka Jackline unaguna nn dada?njoo viwanja vya usitawi dada km upo dar akina Sr.P na zay B wapo husiofu23 hours ago


    • Dravic Kinega Moudy AFU WALISHAM2KANA HEWANI LIVE BILA KIFICHO23 hours ago


    • Matilda Kivelege Duuuh muite na magari ya FIRE patawaka motoo hapo jamen23 hours ago


    • George Tibaijuka Yaani ni noma co fire tu waite jeshi maana police hawatoweza mziki kwan wafu fm lzm waweke mamluki kibao kuharibu show.....wanaanya mbaya na mpaka ss wametumia Hera kibao bila mafanikio23 hours ago



    • Mark as Spam

      Mohammed Masoud Yan 2mekod costa cku iyo from tanga 2 dar kwny show yakizalendo, soggy kwa mara ya kwanza na2kana Afande ni shoga ***** zake.23 hours ago




    • Belinda Rugarabamu jamani pig black yupo?23 hours ago



    • Mark as Spam

      George Tibaijuka Fine masoud mpe jingine bwabwa hy23 hours ago





    • Mark as Spam

      Mohammed Masoud Berinda umekumbusha kichwa muhimu! mbaya nn mnataka mazee!23 hours ago





    • Mark as Spam

      Mohammed Masoud Ebwna soggy Sarafina wa kibanda cha cm ckuiyo nae anatakiwa ndani ata kam kaolewa au ana kachanga cha mwz23 hours ago




    • George Tibaijuka Cjuh yupo wapi huyo nguruwe mweuc......soggy tusaidie wapi huyo jamaa?23 hours ago


    • BaraKa KizuGuto kwenye msafara wa mamba kenge nao wapo, afande kafulia anaishi kwa nguvu za macho, dj demu yule wa wafu fm alimdiss kichzi wiki nzima ktk kipindi ooh msanii gani mchafu, msanii kaishiwa lkn leo hii karudi tena hko??? kapotea kweli swahiba anazani atapewa tena U king wa ryhmes???23 hours ago


    • Victor Karia kama waliotajwa hapo juu hawakuepu naona walikuwa wana watangaza wasanii wapya na co waasisi wa muziki wakat huo hvyo kama wanapaswa wabadili jina au kama jina la kipindi wameshindwa bas wawape wasikilizaji watoe maoni!!! BONGO FUL KU COPY NA KU PASTE!!!23 hours ago



    • Mark as Spam

      George Tibaijuka Hahahahaah baraka22 hours ago





    • Mark as Spam

      Kevin Awitti Yaani sijaamini kuwa watu fulani ni masnitch mazima.Wanatosa Vinega kwenda kwa wafu??Na baada ya hapo watatoswa tu na wafu.Sio siku nyingi dada yetu fulani katosa kundi fulani kipindi cha uchaguzi sasa anataka kurudi na hatakikani!Vinega wanafaa kufanya show A city na Mwanza kwa akina George Tibaijuka waone support wataopata!!22 hours ago




    • George Tibaijuka Kwel kwel Kevin wakuje huku tunawasubilia kwa hamu sana22 hours ago


    • Hassan Mwili Jumba Mhando Mi sitaki kiuamini kwamba MGANBO SELE amemtupa SUGU, hii haiwezekani....yaahi Mganbo Sele anaona WAFU ndo wa kuwapa shavu. naye kumeb ndo mana kama amekufa tu maana hatumsikii.21 hours ago


    • George Tibaijuka Kamtupa kiukwel ukickiliza cloud wanamrusha na yy@hassan20 hours ago


    • Kevin Awitti Sele siamini kabisa lakini ndio hivo.The movement is on!!20 hours ago



    • Mark as Spam

      George Tibaijuka Mpaka Kala pina naye maku anaongea ungese tu hapa20 hours ago




    • Hassan Mwili Jumba Mhando Dah kama ni Hivyo kumbe Mganbo Sele naye ni **** kabisa, tena MAKU.....Nakumbuka nyimbo yake moja Mgambo Sele anasema, "Nauliza vipi SUGU, mchizi anawaka mchizi anasikitika, Mziki bongo haulipi mwanangu mi nang'atuka, duh mimi nastuka mwili unatetemeka miguu inakosa nguvu nahisi kama naanguka, KWA VILE BILA SUGU HAPA NILIPO NISINGEFIKA" kumbe anajua kuwa bila SUGU hapo alipo asingefika , SASA KWANINI HAMPI KAMPANI???19 hours ago



    • Mark as Spam

      Rick Pangani Looh
      Anti virus.ni poa.19 hours ago




    • Said Ambua yap salute18 hours ago


    • Kevin Awitti Eti Kalapina pia?Makubwa!!Lakini ujumbe umefika.Kwa vike bila Anti Virus wasingekua waliko sasa hivi na wafu.Msg delivered:Anti Virus for life!!!18 hours ago


    • Rachel Balilemwa Nw nmeelewa,asubuh ilnpta kushoto.

      hello 2 snitches17 hours ago



    • Mark as Spam

      George Tibaijuka Kala piña mngese sn Leo alikuwa kwenye interview na hao machoko eti anasema anataka pata exprience kwa kufanya show na DMX......mamamaako Kala na kikoc cha mashoga chako17 hours ago




    • Kevin Awitti Kupata experience ya kufanya nini?Kufuga mbwa au?Mtu hujasikika hata Kenya itakua experience gani?16 hours ago


    • George Tibaijuka Senge tu lile eti linataka kumfunika huyo teja wa USA16 hours ago



    • Mark as Spam

      George Tibaijuka Hacha Kenya......Kinondoni tu kakosa udiwani sasa badala akae karibu ns mbunge ajipange kwa mwaka ujao yy anaenda kwa machoko kisa laki moja16 hours ago




    • Mwatoum Mdengor wat weweeeeeee mtunza kwao bwana sio kila siku wamarekani wanini sie tupa kule16 hours ago



    • Mark as Spam

      George Tibaijuka Nn kinaendelea huko redioni?mtujuze mnaoaccess matangazo hayo15 hours ago




    • Mohamed Arfi Waelewe kua chote sugu anachopanga huwa anafanikiwa mf alisema mwanzo lazma ataenda ulaya na akafika.alisema ataaandaa sumit kuubwa ya kuwakutanisha wasanii na akawakutanisha mwisho akasema ntakua mbunge na amekua sasa na antvirus lazma awa skan hao virus12 hours ago · 1Loading...


    • Mohamed Arfi Waelewe kua chote sugu anachopanga huwa anafanikiwa mf alisema mwanzo lazma ataenda ulaya na akafika.alisema ataaandaa sumit kuubwa ya kuwakutanisha wasanii na akawakutanisha mwisho akasema ntakua mbunge na amekua sasa na antvirus lazma awa skan hao virus12 hours ago


    • George Tibaijuka Mohamed upo sawa kabisaaaa waambie kiburi co kitawaponza hao wafu fm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom