Uzinduzi antivirus mixtape 26/11/11

Sure sasa hivi wamelowa wanaogopa kinyama! wanahaha na kina DMX! Itafahamika tu!

Kweli wanahanya vinega wapo times na dtv na stage kubwa tunawaonyesha kuwa hata mabaga fresh wanaweza kuimba kwenye big stage anayofungiwa tpain au fatjoe wanahanya na hao sm watajuta
 
yule ru gay cmpend kama nisivyowapenda chama fulan anajifanya yeye ndiye ana copy right ya music wa bongo kauwa hip hop na kaleta wabana pua shame on u
 
Sugu badala ya kuhangaika na matatizo ya wananchi wa Mbeya yeye anatunga matusi. Mwanaharakati gani anatukana. Uanaharakati sio matusi.

Hao Vinega wote ubunifu umewaponza. Kama klausi wanawapinga mbona redio nyingie hawa wapi Air time?. Hawana kitu hao.
 
nenda mbeya ukaone magreda wewe unafikiri sugu kaenda mjengo kutengeneza nssf na shavu muziki ndio umempeleka bungeni kwa hiyo lazima au fanyie mambo muhimu tatizo lako unapenda kupost bila ya kufikiria jombaa toka asubuhi point moja kama jicho la jini wewe kama inakuuma nenda kajiripue pale bamaga siku ya show..
 
lazima watu wafurahie kazi ya nyumbani pamoja sana sambamba kama katiba na deus kibamba..
 
Sugu badala ya kuhangaika na matatizo ya wananchi wa Mbeya yeye anatunga matusi. Mwanaharakati gani anatukana. Uanaharakati sio matusi.

Hao Vinega wote ubunifu umewaponza. Kama klausi wanawapinga mbona redio nyingie hawa wapi Air time?. Hawana kitu hao.

acha wivu wa kike ww mkazuie ubunge waake mbeya muone na mkionekana mbeya mtachomwa moto si mlijifanya hampo hewani mbeya ili mmdhoofishe sugu kumbe watu hawana time na nyinyi.kamuulize kandoro anamjua vizuri kinega sugu tar 26 bamaga antvirus with no apology
 
leo nimekuta na K wa mapacha nimejua jinsi jamaa walivyo na hasira na music! Jiulize hivi Mapacha ni watu wa kusota kweli? Vinega go! Go vinega!
 
huu muziki hauwezi kuvurugwa na mtu kama Ruge alafu tukae kimya! Hao waliohongwa kama inspector haruni ni big G tu,utamu ukiisha watatemwa!!
 
lazima wasanii watengeneze mtandao wa kujitetea na kujisimamia,akina Ruge hawawezi kufanikiwa kama wasanii watasimama! Huu muziki umetoka mbali sana! Haiwezekani wasanii washindwe kufaidi jasho lao!
 
haiwezekani maisha ya wasanii yashikiliwe na watu wachache! Wakitaka usifanikiwe hufanikiwi! Upuuzi! Hawa vijana hawajui lolote zaidi ya kupewa vipaji vya muziki! Lazima muziki uwe huru kutegemea na vipaji!
 
leo wasanii wamenifumbua macho sana! Wananyonywa mno na wanagawanywa wasiungane na wanaofaidika na mfumo huu! Ukijua kinachoendelea kwenye soko la muziki unaweza usiamini! Upuuzi wa kutisha!
 
haiwezekani maisha ya wasanii yashikiliwe na watu wachache! Wakitaka usifanikiwe hufanikiwi! Upuuzi! Hawa vijana hawajui lolote zaidi ya kupewa vipaji vya muziki! Lazima muziki uwe huru kutegemea na vipaji!

daaaaaaaaaaahhhh
 
Kweli mdau inaudhi wasanii kama misukule hawaoni wenzao uganda wanavyoishi vizuri wao wanajifanya swaga angalia hata album hawatoi shoo siku hizi hadi wasubiri fiesta ni aibu sana
 
ZAY B, BDP, MANZESE CREW, LWP, SUMA G, SOGGY DOGGY, SUGU, MKOLONI, ADILI, MAPACHA, hawa walitoka kabla hata ya CLOUDS kuanza, walifanya kazi za ukweli na walikubalika, ila walipotakataa kuwa managed na hao jamaa tu wakawabani, wanabana kwa ma afisa masoko, wasipate udhamini...**** u clouds, **** u ruge?
eti msanii ili uweze kuapata show inabidi umnyenyekee B -12 Khaaa?
mtoto wa juzi tu
26 november ustawi wa jamii kitasomekaaa
 
Anti virus wt no apology, waambie na wenzako 10 mje nao me mbunge wangu kaniambia atakuwepo. Dön dare 2 mis ze shw
 
ZAY B, BDP, MANZESE CREW, LWP, SUMA G, SOGGY DOGGY, SUGU, MKOLONI, ADILI, MAPACHA, hawa walitoka kabla hata ya CLOUDS kuanza, walifanya kazi za ukweli na walikubalika, ila walipotakataa kuwa managed na hao jamaa tu wakawabani, wanabana kwa ma afisa masoko, wasipate udhamini...**** u clouds, **** u ruge?
eti msanii ili uweze kuapata show inabidi umnyenyekee B -12 Khaaa?
mtoto wa juzi tu
26 november ustawi wa jamii kitasomekaaa

nakubali hawa washkaji walikuwepo kabla ya Clous. Kilichowapoteza si uwepo wa clous bali ni ubunifu wao ulipungua.

Tanzania kuna radio &Tv station nyingi sana. Kwanini bado hawapati Airtime kama mwanzo?

Clous wana mapungufu yao, ila hao wanaojiita vinega wanapaswa kukaa chini na kujitathimini. Kuamua kutunga nyimbo za matusi hakutawarudisha kwenye game. Kulalamika hakutawarudisha. Lazma waanzishe darasa kuwaelimisha wasanii wengine ila sio kutunga nyimbo za matusi. Ni ujinga, tena ni ujinga.

Hitimisho:
hiyo showa watahudhuria wahuni, wavuta bangi wenzao. Na haitakuwa na ufanisi. Nawapa mwaka mmoja hilo kundi litakuwa limevunjika kwakuwa hawana vision.
 
We wapenda mabdliko kibao watakuepo, me c2mii kilev chochote bt ntakuepo, niko na majembe nawapanga kujanao afu wote ha22mii kilev xa cjui utamteteaje rugay coz me nimepanga kuja na suti kuonyesha dat hata wenye heshma 2nasapot harakat hii
 
nakubali hawa washkaji walikuwepo kabla ya Clous. Kilichowapoteza si uwepo wa clous bali ni ubunifu wao ulipungua.

Tanzania kuna radio &Tv station nyingi sana. Kwanini bado hawapati Airtime kama mwanzo?

Clous wana mapungufu yao, ila hao wanaojiita vinega wanapaswa kukaa chini na kujitathimini. Kuamua kutunga nyimbo za matusi hakutawarudisha kwenye game. Kulalamika hakutawarudisha. Lazma waanzishe darasa kuwaelimisha wasanii wengine ila sio kutunga nyimbo za matusi. Ni ujinga, tena ni ujinga.

Hitimisho:
hiyo showa watahudhuria wahuni, wavuta bangi wenzao. Na haitakuwa na ufanisi. Nawapa mwaka mmoja hilo kundi litakuwa limevunjika kwakuwa hawana vision.

1.VINEGA sio kundi,bali ni genge...
2.hawa jamaa hawaendeshi harakati za kupigiwa nyimbo zao redioni,lengo lao ni zaidi ya ulipoishia kufikiria,wanapigania vitu vifuatavyo
a.fursa sawa kwenye biashara ya muziki(kusiwe na u-Mungu mtu kama sasa)
b.msanii anufaike na kazi yake kwa asilimia zote e.g albums,showz,ringtones,matangazo ya biashara etc
c.kujenga thamani ya msanii wa kitanzania(msanii wa kibongo hivi sasa amekuwa mnyonge,ombaomba,maskini,mwoga adi wanaishia kula unga)
d.kujenga nguvu na sauti ya kundi la sanaa,ambalo linasahaulika sana kwenye mambo muhimu k.m plans,policy making nk

4.kuusu suala la matusi lisikuogopeshe sana,izo ni hasira tu wanazionyesha.jamaa wako real(its all about hiphop)..ni kama wewe umeme ukikatika apo ghafla jinsi utavyotukana.
5.unasema jamaa hawana vision..ungejua hii movement ilipoanza adi sasa ilipofikia wala usingesema,kuna wengi walijaribu wakaishia njiani..jamaa watakushangaza sana.

najaribu kukusahihisha kidogo..
 
ninaposema kundi namaanisha ni mkusanyiko wa watu of the same interest the same as Genge. Kundi sometimes refer as Genge.

Najua hizi movement kabla walizianza Kikosi Cha Mizinga, ila walishinda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom