Mwanagandila
Senior Member
- Oct 9, 2011
- 182
- 100
Sina ugomvi na hao wasanii but hayo matusi wanayomwaga ... kah nimewashusha thamani... hiphop sio matusi ... kawape taarifa hao vinega , na pia mkubali wa tz ni mashabiki wa bongo flava, bongo flava zipo juu ea, nenda Kenya kaulize who is alikiba, alafu waulize soggy mnamfahamu...? hivi ruge pia ana nguvu hadi radio za huko Kenya ...
kila mtu ana wakati wake wa kuhit, kila siku kunatokea wasanii wapya ndio maana, SOGGY atahit vipi now wakati WAFU FM ndio kila kitu?
kuna mtu alibamba kama Q CHILLAH na BUSHOKE wakawa kila week wanaenda kwenye show KENYA & UGANDA leo hii wako wapi?
unajua kilichowafanya wapotee kwenye game? BUSHOKE anaimba home kwao DODOMA kwenye CLUB 1 inaitwa LA AZIZ..music anweza but ndio jamaa wameamu akumpoteza kwenye game
ili usikie kenya si ni lazima nchini kwako uwe una hit??