Uzembe huu ni hatari.

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,950
711
watanzania wenzangu,
Tumeshuhudia ajali kadhaa ambazo zimesababishwa na uzembe wa viongozi wetu. Mfano ni kama vile ulipukaji wa mabomu kule Mbagala na Gongo la Mboto. Habari za uhakika ni kuwa ulipukaji wa mabomu hayo yametokana na uzembe wa serikali kushindwa kutoa fedha kwa ajili ya kuyaharibu hayo mabomu yaliyokuwa yamekwisha muda.

Serikali inadai hakuna pesa lakini kila leo kuna semina za wabunge na maofisa wa serikali huku wananchi wanapoteza maisha na mali zao kwa uzembe wa serikali na hakuna anayewajibika.

Hii picha inaonyesha uzembe mwingine. Mpaka pale ajali itakapotokea kwenye kiwanja cha ndege Iringa, ndipo serikali itashtuka na kushughulikia hilo tatizo. Jionee mwenyewe.

6985916.jpg
 
Sasa fire ndo hiyo pickup au? Kweli vipaumbele tumbo kwanza.
 
Pole sana Mkuu! Your observation is very true. shida kubwa ktk hii TZ yetu ni kwamba watu (viongozi) wamejiwekea mfumo usio rasmi wa kuwa reactive tu na sio kuwa proactive kwa makusudi ili kujinufaisha wao na familia zao. Just look around its every where, umeme, elimu mabomu you name it! Utasikia kina cha maji Mtera kimeshuka etc, etc
 
Wabongo tunafanya utani kwenye kila kitu.... halafu ikitoa matatizo tunaanza kusingizia ni mipango ya mungu!!!!:A S 13:
 
Hiyo ndiyo fire brigade au ni dharura tu? Ka ni fire basi kuna haja ya kutafuta uhuru wa tanganyika kwani mkoloni bado yupo na anachuma na kwenda kuwekeza kwao.
Najiuliza kila siku hii ccm ni chama cha nchi gani kilichokuja kutawala tz?
Kinachuma na kupeleka kwao.
 
halafu hiyo ndege ni ya serikali,napenda nikoke moto hapohalafu waseme ni mpango wa mungu!!!Hivi vichekesho yani huyo njemba mmoja ndo atazima moto kweli???Narudia tena wa tz tunapenda kufuata kanuni za polisi badala ya za wapelelezi/makachero yaani tunapenda kuchunguza tukio likishatokea(polisi) badala ya kulizuia(makachero)!!!tunaishi kwa kudra tu...
 
Pole sana Mkuu! Your observation is very true. shida kubwa ktk hii TZ yetu ni kwamba watu (viongozi) wamejiwekea mfumo usio rasmi wa kuwa reactive tu na sio kuwa proactive kwa makusudi ili kujinufaisha wao na familia zao. Just look around its every where, umeme, elimu mabomu you name it! Utasikia kina cha maji Mtera kimeshuka etc, etc

Mtu kama umempa majukumu ya kufanya na asifanye, kuna mawili.....aidha kumfanyisha kwa lazima au kumuondoa na kuweka mwingine. I'm not sure what mode is better than the other.
 
kumbuka na Shinyanga pia yamelipuka,
hao jamaa huwa hawajali maslahi ya jamii hata siku moja
mpaka wawe ousted tu ndio watashika adabu wanadhania wananchi tuna raha nao tena
 
Kikosi cha zimamoto Uwanja wa ndege??????????? :laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:

Dah, nimechoka kukasirika sasa................
 
hapo ni nduli kukaye ya nene jamani historia ya uwanja huo hauna zimamoto ni miaka mingi sana kwa sasa huwa wanaleta zimamoto toka mjini pale tu mkuu wa nchi anapokuja kwa ziara za kitaifa iringa!!!!kuna uhuni ina maana huu uwanja wa ndege hauingizi fedha za kutosha kununua zimamoto?na hiki kiwanja kipo chini ya nani?achukuliwe hatua huwezi kunambia hiyo gari imechoka hivyo eti ukaita ni zimamoto sidhani angalia na mitungi yenyewe hata scudo ingiungua haizimi hiyo!
 
Hiyo ndiyo fire brigade au ni dharura tu? Ka ni fire basi kuna haja ya kutafuta uhuru wa tanganyika kwani mkoloni bado yupo na anachuma na kwenda kuwekeza kwao.
Najiuliza kila siku hii ccm ni chama cha nchi gani kilichokuja kutawala tz?
Kinachuma na kupeleka kwao.

JK amekiri kwenye hotuba yake iliyolenga tumuonee huruma kuwa toka enzi za Nyerere-Mwinyi-Mkapa na hata sasa CCM imeshindwa kutatua matatizo bali wanaendelea kuyatatua.
 
Back
Top Bottom