uzee

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
nilimuuliza babu yangu uzee ni nini?
Akanijibu!
Uzee ni pale unapoambiwa na mpenzi wako"honey tupande chumba cha juu tukafanye mapenzi!"
Wewe unajibu"hapana switi siwezi kufanya vyote viwili kwa pamoja!
UZEE NI NINI?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom