Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Shida ni kwamba miradi ya k7upanga uzazi hazimilikiwi na serikali bali ni NGO, na kila NGO ina donnors wao. Malteser ipo funded na Malta, na order of Malta ndio vatica, kwa hiyo hawawezi kukubaliana na diaphragm ama IUD sababu kwa upande wa dini ni "waste". watapendekeza zaidi vidonge na sindano. sasa 7ukizingatia sindano zina gharama ya kuwalipa ma nesi wanaona ni bora kutumia vidonge.
Wakienda field kuanzisha mradi wanafanya training ya vidonge tu sababu hayo mengine wamesha amua ofisini, hivo nesi anakua anajua sana kuhusu vidonge na vingine ni kama sisi tu, some time even less.

Hapo pekundu pameni huzunisha kwa kweli..
 
Asante sana dada AFRODENZI,kwa upande wangu hapo naona matumizi ya kondom ndio hayana hizo side effect tofauti na hayo madawa,hasa kwa wasichana ambao hatujaolewa.
 
Na shukuru kwa ushauri wako mzuri .
Lakini kumbuka si lazima ndoa kufanya mapenzi na si wenye
ndoa tu ndo wanafamilia.
Kwa kweli nimependa hapo ulipo pendekeza condom.
Ila kwa wale ambao wako kwenye relation na wamepima wako clean hawataki kutumia
condom
nataka tu kuwaonyeshea kuna njia nyingine asante .. ..

Nakubaliana nawe hapo pa blue, ndio mana nikashauri matumizi ya Condom. Hapo pa green labda watumie njia ya kuhesabu siku kutambua ambazo ziko safe. Honestly kuna baadhi ya madaktari huwa wana discourage sana hizi njia za uzazi wa mpango kutokana na side effect zake tofauti tofauti na ambazo pia zinatofautiana kwa kila mtu.
 
sikujua kama nlidhurika, nlizaa nikiwa la sita.

Ila nlipigwa ila nikalipiwa ada tena.

Sio madhara kiafya ila madhara pale wanapopata ili hali hakutarajia, kwa wale ambao bado wako mashuleni bado ni tatizo hawana elimu ya kutosha
 
Asante sana dada AFRODENZI,kwa upande wangu hapo naona matumizi ya kondom ndio hayana hizo side effect tofauti na hayo madawa,hasa kwa wasichana ambao hatujaolewa.

my dear ..
Chagua kilicho salama kwako na kitakacho kufurahisha..
Condom naunga mkono asilimia mia ya mia. asante na karibu tena.
 
Shida ni kwamba miradi ya k7upanga uzazi hazimilikiwi na serikali bali ni NGO, na kila NGO ina donnors wao. Malteser ipo funded na Malta, na order of Malta ndio vatica, kwa hiyo hawawezi kukubaliana na diaphragm ama IUD sababu kwa upande wa dini ni "waste". watapendekeza zaidi vidonge na sindano. sasa 7ukizingatia sindano zina gharama ya kuwalipa ma nesi wanaona ni bora kutumia vidonge.
Wakienda field kuanzisha mradi wanafanya training ya vidonge tu sababu hayo mengine wamesha amua ofisini, hivo nesi anakua anajua sana kuhusu vidonge na vingine ni kama sisi tu, some time even less.
Hili liko wazi tena wakienda field hasa huko ndani ndani ambapo watu hawajui matumizi mengine zaidi ya vidonge ndio kabisa wanabeba vidonge tu ni kwasababu hawatambui umuhimu wa matumizi ya njia nyingine au wanaona kwamba huko wanakoenda field mara nyingi sana huwa inakuwa ni vijijini wanaamua kubeba vidonge tu
 
Nakubaliana nawe hapo pa blue, ndio mana nikashauri matumizi ya Condom. Hapo pa green labda watumie njia ya kuhesabu siku kutambua ambazo ziko safe. Honestly kuna baadhi ya madaktari huwa wana discourage sana hizi njia za uzazi wa mpango kutokana na side effect zake tofauti tofauti na ambazo pia zinatofautiana kwa kila mtu.
Hizo njia zingine kama za kuhesabu siku hazina accuracy na mara nyingi wanaume hawatoi ushirikiano. Nadhani ni sababu adverse effect ya mimba za bila mpango ni kwa wanawake. Na ndio maana nilipendekeza wanawake wawe 80% or more responsible of the contraceptive method.
Ni vigumu sana kwa mwanaume kuelewa 'on the spot', hata kama mwanzo mlikubaliana.
 
Nadhani sote tunaelewa kwamba siku za mwezi haziko constant
unaweza hata uumwe na kichwa leo uchukue tu panadol . siku zako
zika change Hiyo ya kuhesabu siku kweli nadhani ni kudanganyana.
Wengine hata hawajui siku zao ni lini .

ni ma millioni ya watu wanatumia hizi contraceptive ni sawa madoctor
watakupa side effects zake lakini hiyo ni kwa kila kitu medical kina side
effects. Binafsi nawashauri watu wapate elimu zaidi kuhusu hili .

Na vitu kama morning after pills . side efect yake kubwa ni kusikia tu
uchovu basi. kwa hiyo ni vema kuangalia kila kitu na si kila contraceptive ni
mbaya kama kama maelezo ninayo yaona ..
 
Hizo njia zingine kama za kuhesabu siku hazina accuracy na mara nyingi wanaume hawatoi ushirikiano. Nadhani ni sababu adverse effect ya mimba za bila mpango ni kwa wanawake. Na ndio maana nilipendekeza wanawake wawe 80% or more responsible of the contraceptive method.
Ni vigumu sana kwa mwanaume kuelewa 'on the spot', hata kama mwanzo mlikubaliana.

Kweli kabisa mnaweza kukubaliana kitu kama "Withdrawal" lakini
mambo yakinoga basi . Baada anaebaki na mawazo ni mwanamke.
 
Bia ni Tamu kuliko Ngono
Karibuni kaunta ya juu na Condoms zenu.
Sie tushazeeka kazi ni moja tu.
Kunywa na kunywa afu kunywa tena zaidi. Kunywa kwa spidi. Kunywaaa afu Kulala!! Kudadadadadeki!

your Majesty babu Asprin nakusalimu.
Vizuri kujua nawe unabeba plastiki bag..
 
Bia ni Tamu kuliko Ngono
Karibuni kaunta ya juu na Condoms zenu.
Sie tushazeeka kazi ni moja tu.
Kunywa na kunywa afu kunywa tena zaidi. Kunywa kwa spidi. Kunywaaa afu Kulala!! Kudadadadadeki!

Thanks pal, namiss sana bia za stuli ndefu, huku East Timor vijamaa vinapiga gitaa na kutafuta wamama wazee wa asutralia tu wapate pesa ya kula, hakuna raha kama kwetu tunapoagiza kwa sauti kuu
 
Hapo pekundu pameni huzunisha kwa kweli..
Ndio hivo. Ikiwa serikali itaamua kuingilia kati basi itakua sawa. Nchi zingine donnor anasema anahela ngapi, alafu serikali inampa action plan ya kwaka kufatana na priorities. Sasa huku donnor ndio anachagua partners, mradi, targetd populaiton, kila kitu. Replication ya programs, overlap ya NGO na mengine mengi, huku zote ziki-concentrate katika eneo ambazo gari zinafika kiurahisi wakati wenye sida wako ndani zaidi.
Tatizo lingine ni pale wanapo kuja mwezi huu, wanatoa dawa ya miezi 3, alafu hawaonekani tena hadi mwaka kesho. Shida ni nyingi dada yetu, na suluhisho0 litapatikana serikali (mostly) itakapo amua kurudisha order. Ni bora zaidi NGO zisiwepo kabisa.
Samahani kwa kwenda nje kidogo ya mada, nilitaka tu kuonesha kwamba hata watu wakijua juhusu njia zingine (zaidi ya vidonge) wanaweza kushindwa kupata huduma sababu sekta nzima haija kaa sawa (institutional framework)
 
your Majesty babu Asprin nakusalimu.
Vizuri kujua nawe unabeba plastiki bag..
Plastic bag za nini mpendwa....... Mimi ni yango na yango kwa mama matesha wangu bana....... Umri huu mama...Umri!
Thanks pal, namiss sana bia za stuli ndefu, huku East Timor vijamaa vinapiga gitaa na kutafuta wamama wazee wa asutralia tu wapate pesa ya kula, hakuna raha kama kwetu tunapoagiza kwa sauti kuu
Afu uwe unatumbuizwa na nyimbo za yule chalii yetu. Ukimgea buku tano unapata bonus tracks tatu! Acheni biya ziitwe biya bana....Hahaha hapo red hapo........ We Manka hebu fungua mbili za haraka hapo, afu niitie mtu wa jikoni, sawa?

Pole mate, jichanganye na hiyo mijimama, nasikia ngoma bado haijafika mpakani hapo.
 
Halafu umeongelea sehemu ambayo nilikuwa nimeisahau kuigusia huku mashuleni ni kweli mashuleni wanaongea kijuujuu tu na hawaelezei kiundani madhara pia kuna wengine huwa wanaona aibu hata kuwaelezea watoto wao madhara na hali halisi..bado tuna safari ndefu sana kufikia huko tunakotaka kufika..sasa kama mtu anasema wanaopata mimba mashuleni ni kiherehere chao unategemea nini

Hehehehe
Nategemea waache viherehere.lolz
 
nadhani sote tunaelewa kwamba siku za mwezi haziko constant
unaweza hata uumwe na kichwa leo uchukue tu panadol . Siku zako
zika change hiyo ya kuhesabu siku kweli nadhani ni kudanganyana.
Wengine hata hawajui siku zao ni lini .

Ni ma millioni ya watu wanatumia hizi contraceptive ni sawa madoctor
watakupa side effects zake lakini hiyo ni kwa kila kitu medical kina side
effects. Binafsi nawashauri watu wapate elimu zaidi kuhusu hili .

Na vitu kama morning after pills . Side efect yake kubwa ni kusikia tu
uchovu basi. Kwa hiyo ni vema kuangalia kila kitu na si kila contraceptive ni
mbaya kama kama maelezo ninayo yaona ..
yangu ipo constant balaa ngoja nikale wkend mie sina cha kuogopa ufunguo kwangu ni mlango wa angaza tu
 
Back
Top Bottom