afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,145
- 9,207
Asante AD,kwa kutujali wadada hasa wale ambao hawajapata fursa ya kupata elimu ya uzazi na namna ya kujikinga,
Kwa uhakika na usalama wa afya yako na kuepuka mimba zisizotarajiwa kwa wale masingo au wasio olewa ni kutumi CONDOM tu,una uhuru wa kumshauri mweza wako(mwanaume)avae yeye au uvae ww (Binti).
you welcome dear
Asante na wewe kwa kusoma na kuelewa ..
Na pia asante zaidi kwa sisistizia condom.
Kwa kweli ushauri ni kitu cha bure anaetaka kuchukua achukue na anaetaka kuacha aache si lazima.oa