Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,610
ni kweli lakini sio mimi mimi kabla hatujabanjuka mlango wa angaza kwanzawasichana wengi wa ki tz wanaogopa mimba tu
ukimwi sio sana
ni kweli lakini sio mimi mimi kabla hatujabanjuka mlango wa angaza kwanzawasichana wengi wa ki tz wanaogopa mimba tu
ukimwi sio sana
mmmh msichana eg miaka 18-25 na misindano? Vitanzi? Vidonge? Khaaa kisa nini elimu ipo ipo bwana heri watumie condom tu izo njia zingine siziafiki kabisanakubali nawe ila si kila mtu anaelimu ya mfumo wa uzazi..
mmmh! unaniangusha lizzy! kwani hujui midoli ndo the second safe way after abstaining from sex?
si vizuri kutoa mimba ,ila kama msichana man method hayo mi sikubaliani nayo naona ni vema kwa sababu mwanaume mwenyewe hukai nae mnashtua tu kiaina mkutane siku ambazo si za hatari sio vizuri kuexpose mwili kwenye madawa madawa ya uzazi meeeeeeeeeen
wanaume hawapendi hiyo kidonge kabisaasante ad,kwa kutujali wadada hasa wale ambao hawajapata fursa ya kupata elimu ya uzazi na namna ya kujikinga,
kwa uhakika na usalama wa afya yako na kuepuka mimba zisizotarajiwa kwa wale masingo au wasio olewa ni kutumi condom tu,una uhuru wa kumshauri mweza wako(mwanaume)avae yeye au uvae ww (binti).
haya nipe address yako nikutumie profoma invoice.Nyie kazi imewashinda sio?
Haya changamkia biashara hiyo.
haya nipe address yako nikutumie profoma invoice.
Ndio watajijua sasa,wanaume hawapendi hiyo kidonge kabisa
mmmh msichana eg miaka 18-25 na misindano? Vitanzi? Vidonge? Khaaa kisa nini elimu ipo ipo bwana heri watumie condom tu izo njia zingine siziafiki kabisa
Tuko pamoja mkwe.asante AD kwa somo............ wangetumia njia ya uzazi wa mpango ingepunguza idadi ya wasichana wanaokufa kwa utoaji mimba.
thax kwa ushauri hizi method naona umezungumzia upande wa wanandoa suppose ni vibinti 13-25 unashauri njia ipi?afro, binafsi sioni how tunaweza kuongelea njia za kutumiwa na wanawake alafu tuweke condom, au coitus interruptus (nashkuru hujaiweka).
Kama unavojua (or baybe not) hawa awenzetu ni wazito sana kutoa ushirikiano kwenye amswala ya family planing. Kuna direct correlation kati ya education na uwezekano wa wanaume kutoa ushirikiano. Na kama unavo jua in our rural communities education ni mostly primary (when there is education, that is...)
so we are left with zile njia zinazo milikiwa na wanawake wenyewe. Kwanza hizo za pills mi sizipendi sababu unaweza kuzihitaji na ukawa huna ata that moment, au usahau. It happens. Alafu zina leta too much hormones imbalances zinazo ji-express kw amood swings, kuongeza uzito, kukosa usingizi etc. Kwa kweli sizipendi.
Diaphragm siipendi kwa namna yake ya kuwekwa "in situ". Kwa kweli naona kama it is not very 'comfortable' kujiwekea diaphragm na zaidi kukaa nayo for so long. Hiyo inawafaa maybe people who don't live together. Sasa kama mke wa mtu unaweka 4 pm so you can havee sex at 6 pm, then at 11pm you have sex, you cant remove it neither, tou keep it. Asubuhi mapema mnapasha tena, you cant remove it. By the time unaitoa saa sita mchana unajiuliza kama ile spermicide haikuzidiwa nguvu maana baba alitoa double dose...
Injection nazo zina shida: They are not reversible for the period they are set for. Kama ni 3 month, ni hivo hivo, no way to reverse. The same goes (to some extent) for implants. Na pia zina mood swings ingawa sio nyingi kama za pills.
To me the one way ambayo haina side effect nyingi, ambayo mwanamke anamiliki reproductive capacity yake mwenyewe na ambae na ambayo unaweza kutoa at any time you want ni... Iud.
They also have side effect/ kuna zile za copper ambazo zinaongeza sana quantity of blood during period, na zile za plastic zinapunguza sana (na sometimes kupoteza for several month). Pia sababy ya kale ka uzi kanako kaa on the cervix kuna risk ya infection. But ukiwa msafi na ukiona adverse effect ya methods zingine naadhani it is still fine.
To me it is the best way.
wanaume hawapendi hiyo kidonge kabisa
ujue kuna vitoto vinaanza kudandiwa from 12yrs hata 10 yaani unataka vitumie masindano na mavidonge jamani watumie tu condom mweeeh?????//nimekusoma, ila bado ntaendelea kusisitiza matumizi ya hivyo vitu kwa wale wanaotaka uhakika. Sasa hivi wengi wanafanya kubahatisha kama unavyoshauri na ndio maana hawaishi kutoa mimba. Sasa wewe uniambie, unadhani bora wanywe vidonge kuzuia au wabahatishe alafu wakatoe mimba kienyeji na kuhatarisha maisha yao pia kukatisha maisha ya viumbe visivyo na hatia?......
Kwa sababu nilizo zitaja juu the same methods zinafaa kwa wote.thax kwa ushauri hizi method naona umezungumzia upande wa wanandoa suppose ni vibinti 13-25 unashauri njia ipi?
"Bora KUZUIA kuliko KUTOA"
Me likey. . .
Kama hii elimu ya uzazi ingekua inawaingia wengi na wakazingatia viumbe vingi sana visingeonja mauti kwa starehe za watu wengine.
Ntacopy hii kitu niweke kwa blog,