Uzalendo Umemshinda Dr. Hamisi Kigwangallah!

hapa me sijaona kosa la Kigwangalla, ni chuki binafsi tu ya mwandishi.kigwangala ametoa ushauri ambao si lazima kwa cdm kuufata,mleta mada alitakiwa amshukuru badala ya kumtusi
 
bona kila siku tunasikia na kuona viongozi wa upinzani wakitoa ushauri kwa viongozi wa serikali,kumbe nao hukosea???????
 
Ni kweli kash.auri? Ni haki yake kushauri lakini aangalie uwezo wa anaowashauri kama analingana nao!
 
Ulidhani amehama kwenye chama chake??? kuna maslahi binafsi na maslahi ya umma hivyo ni bora kumtadhamini mapema kabla ya kumuamini yeyote toka kwenye hiki chama
 
hivi dr akifiwa na mkewe ataenda kumchukua shekeji yake amuoe coz familia ya marehemu walilipwa mahari eeh?
kwa nn ccm wasiwaachie jimbo cdm kwa kuwa mgombea wao ndio aliye fuatia kwa matokeo ya kura ili kupunguza gharama
 
Wewe unajuwa kuwa Arumeru hamna chenu. Mshaanza kujitetea mapema.

Lowassa anatisha, halafu hawa CCM nuksi kweli, wameenda kumteua mkwewe? hawa wamefanya kusudi magwanda muumie roho.

Ngoma ya ARUMERU NI KUPIMA HASIRA ZA WANANCHI DHIDI YA UFISADI.CCM WAKISHINDA MAANA YAKE VITA YA UFISADI IMEKWISHA KWA MAANA MAFISADI PAPA YAPO ARUMERU MASH.KIKAZI ZAIDI.
 
jimbo la Nzega litakombolewa rasmi 2015, kamanda mpiganaj, experienced proffesianal engineer ( jina namhifandhi kwa sasa) tayari ameshaanza kazi nzega akishirikiana kwa karibu na viongozi wake wa jimbo la nzega kupitia CHADEMA, mpaka ifikapo 2015 magamba watakuwa wameshasahaulika nzega, Operesheni sangara ilikuwa iwe imeshaanza ngazi ya jimbo, mkutano wa uzindiuzi ulikuwa ufanyike tar 4 mwezi huu nzega mjini, then opresheni ingeendelea kwenye vijiji na kata zote, Polisi wakazuia kutoa vibali bila sababu za msingi. as we stand, tayari viongozi wa CHADEMA nzega wameshakubaliwa kuanza mikutano yao any tim they want, OCD amesurrender na ameomba msamaha kwa yaliyotokea baada ya kuonyeshwa kimakosa press conference waliyofanya viongozi hao wa jimbo pamoja na kijana huyo mpiganaji kabla haijafikishwa kwenye media( Channel ten).

lets wait for the good news to come from nzega the soonest possible.

nitaendelea kuwataarifu kinachoendelea huko
 
Wewe unajuwa kuwa Arumeru hamna chenu. Mshaanza kujitetea mapema.

Lowassa anatisha, halafu hawa CCM nuksi kweli, wameenda kumteua mkwewe? hawa wamefanya kusudi magwanda muumie roho.
watahangaika sana zomba, lakini ikifika mwisho imefika tuuu, now its their turn, wametunyonya sana, wametudhalilisha sana,wametudharau sana, sasa kama ikitokea mahali CCM wameshinda kama arumeru, basi kunakitu cha ziada sio mapenzi kwa chama kutokana ma maendeleo ya jimbo na mtu mmoja mmoja kwa muda wa miaka hamsini sasa
 
Allydou Tunashukuru sana kwa taarifa yenye kutia faraja na matumaini kwani tumechoka na watu wanafiki kama Kigwangallah. Kila la heri makamanda wa Nzega.
 
Kawaambia kweli, maana kaona Uzini kamujibu wa Raza mmetumia millioni 60 kwa kujipatia kura 281 yaani kila kura moja mliyopata imewagharimu TZS 213,523 na mmeangushwa vibaya sana, mmpepata aslimia 5 tuu, (yes 5%) ya kura walizopata CCM, wamewagaragaza kwa asilimia 95.

Sasa huko Arumeru yuko mzee mamvi, aiseee, poleni na mapema. Ni kama kuchukuwa fedha za umma mkazi flash maliwatoni.

Zoba mbona waongea sana umekalia kigogo nini?
 
- Dr. Hamis a great human being na kiongozi pia, nimekutana naye bungeni nimeongea naye sana one on one, na pia majuzi tulikuwa wote mpirani Yanga na Zamaleck I mean a Solid Leader kwa macho yangu na masikio nimeona mbunge mmoja wa Upinzani akimshambulia kwa ajili ya kukataa kwake posho na yeye akimcheka bila ya wasi wasi kabisaa!

- Dr. Hamis much respect mkuu, sawa huenda ana mapungufu yake kama sisi wote wanadamu lakini baaada ya kuongea naye na kumsikiliza kwa makini msimamo wake on Mgomo wa madaktari na posho, ninasema Tanzania tunahitaji sana viongozi kama yeye, SALUTE BRO!


William.
 
Kawaambia kweli, maana kaona Uzini kamujibu wa Raza mmetumia millioni 60 kwa kujipatia kura 281 yaani kila kura moja mliyopata imewagharimu TZS 213,523 na mmeangushwa vibaya sana, mmpepata aslimia 5 tuu, (yes 5%) ya kura walizopata CCM, wamewagaragaza kwa asilimia 95.

Sasa huko Arumeru yuko mzee mamvi, aiseee, poleni na mapema. Ni kama kuchukuwa fedha za umma mkazi flash maliwatoni.
CCM mpaka sasa jimbo la Arumeru mmeshatumia mil 168...........Sioi Sumari katumia mil 100 na chama kimetumia mil 68 hapo kampeni za ndaya ya chama je mkianza kampeni za vyama kwa vyama mtatumia kiasi gani wewe unazungumzia mil 60.... mbona hamzungumzii kiasi gani mlitumia kule Igunga.....acha uzoba
 
kuwa mbunge wa ccm unahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana, hata kama una uwezo wa kuelewa mambo lazima ujifanye hamnazo -- hii ni challenge kubwa sana hasa kwa wabunge wasomi vijana ndani ya chama hiki kikongwe.
 
kwa macho yangu na masikio nimeona mbunge mmoja wa Upinzani akimshambulia kwa ajili ya kukataa kwake posho na yeye akimcheka bila ya wasi wasi kabisaa!
Mkuu heshima kwako, je ulisha kaa na mzee ukamuuliza msimamo wake juu ya posho, tumeona watoto wa mafisadi wakichukua nyazifa mbalimbali vipi wewe una mpago gani..... turudi kwenye topic huyo mbunge wa upinzani atakuwa Shibuda
 
Wewe willy J. Malecela nafikiri hata nafsi yako inakusuta unapoandika hizi habari kwani unajua wazi kuwa Kigwangallah alikuwa anapiga kelele za chura juu ya posho na mgomo wa madaktari. Sasa ameishia wapi? Mbona amefyata mkia baada ya kutishiwa nyau na mafisadi wa CCM? Kamwe ndani ya CCM hamna ukombozi amini usiamini ukweli ndo huo.
 
Back
Top Bottom