Uzalendo Umemshinda Dr. Hamisi Kigwangallah!

JACADUOGO2.

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
930
217
Naamini mnakumbuka kuwa uchaguzi 2010 jimbo la Nzega H. Kigwangala alishindwa kwenye kura ya maoni lkn alipitishwa tu kwa mizengwe. Baada ya kushinda uchaguzi mkuu akaanza kazi kwa mbwembwe tukahisi kuwa tumewapata angalau wabunge vijana wawili (January na Hamisi) kutoka chama hicho dhalima ambao wangekuwa watetezi wa wanyonge na vijana kumbe hamna kitu!
Juzi tumemuona Kigwangala akiwatetea madaktari kipindi cha mgomo na hata alidiriki kujaribu kupinga ongezeko la posho ya wabunge kumbe danganya toto.
Eti leo bila aibu Hamisi anawashauri CHADEMA wasimsimamishe mgombea Arumeru Mashariki eti ni uharibifu wa fedha! Kama kweli ana uchungu na fedha za watanzania mbona hajawashauri mafisadi wakubwa wa CCM wa EPA, Richmond, Kagoda, IPTL nk?
Leo nimeamini kuwa huyu Kigwangallah ni mnafiki namba moja na hafai na ndani ya CCM hamna kiongozi hata mmoja anayeweza kusimamia maslahi ya Taifa hili, ila 2015 siyo mbali!
 
Kawaambia kweli, maana kaona Uzini kamujibu wa Raza mmetumia millioni 60 kwa kujipatia kura 281 yaani kila kura moja mliyopata imewagharimu TZS 213,523 na mmeangushwa vibaya sana, mmpepata aslimia 5 tuu, (yes 5%) ya kura walizopata CCM, wamewagaragaza kwa asilimia 95.

Sasa huko Arumeru yuko mzee mamvi, aiseee, poleni na mapema. Ni kama kuchukuwa fedha za umma mkazi flash maliwatoni.
 
Na hao watakaosikiliza ushauri wa asiyejitambua wana mtindio
 
ukishakuwa ccm akili zako unamkabidhi mukama..si january wala huyo ngwalatwala wote akili yao kama lusinde,..unafanya mchezo na vikao vya ccm,.sitta aliitwa na akafyata na ukongwe wake wote...

Pia unakua na akili kama za tambwe hizza.
 
Kawaambia kweli, maana kaona Uzini kamujibu wa Raza mmetumia millioni 60 kwa kujipatia kura 281 yaani kila kura moja mliyopata imewagharimu TZS 213,523 na mmeangushwa vibaya sana, mmpepata aslimia 5 tuu, (yes 5%) ya kura walizopata CCM, wamewagaragaza kwa asilimia 95.

Sasa huko Arumeru yuko mzee mamvi, aiseee, poleni na mapema. Ni kama kuchukuwa fedha za umma mkazi flash maliwatoni.
Bi chau una visa wewe
 
Ukiwa CCM akili zote zinahama matokeo yake unakuwa taahira,
Mwee!!! Pole kigwangala.
 
Bi chau una visa wewe

Wewe unajuwa kuwa Arumeru hamna chenu. Mshaanza kujitetea mapema.

Lowassa anatisha, halafu hawa CCM nuksi kweli, wameenda kumteua mkwewe? hawa wamefanya kusudi magwanda muumie roho.
 
Hajui analosimamia huyo hebu tafuta mwingine ,sisi tumekwishwa mzoea huyo, si mara ya kwanza kuongea hovyo hovyo
 
Kawaambia kweli, maana kaona Uzini kamujibu wa Raza mmetumia millioni 60 kwa kujipatia kura 281 yaani kila kura moja mliyopata imewagharimu TZS 213,523 na mmeangushwa vibaya sana, mmpepata aslimia 5 tuu, (yes 5%) ya kura walizopata CCM, wamewagaragaza kwa asilimia 95.

Sasa huko Arumeru yuko mzee mamvi, aiseee, poleni na mapema. Ni kama kuchukuwa fedha za umma mkazi flash maliwatoni.

Hivi Faiza Foxy amebadili ID siku hizi?

Tiba
 
Sera za kijinga za Ccm za uwekezaji,ziwezekeza jimbo la Nzega kwa mgeni,TUTARAJIE NINI?
 
Back
Top Bottom