Uzalendo ndo huu kweli watanzania

Persie

Senior Member
May 2, 2012
188
15
Salam kwenu wana jamvi hivi kweli uzalendo tuliofundishwa na mwalimu Nyerere,mapendo tunayofundishwa katika dini zetu tofauti hivi ni haki m2 unamwacha mwenzako anaugua mpaka anakata roho et unataka uongezewe mshahara unamwacha mwanafunzi alieamriwa na Mungu aishike sana elimu anaranda randa mitaani et waalimu wamegoma hivi kweli huyu Mungu aliekupa kipaji hicho cha kua daktari au mwalimu kweli unafikiri anapendezwa kwa kitendo unacho kifanya kisa ya pesa wakati mshahara unaoupata kuna watu hata robo yake hawapati lakini wanaishi namalizia kwa kutoa ushauri jamani tutafuteni njia nyingine za kutatua matatizo yetu zingine kama hizi hazifai kwa nchi kama hii ya liwalo naliwe nawasilisha
 
Hivi ni uzalendo kuandika hiki ulichoandika? yaani umeisaliti elimu na upeo uliyojaaliwa na MUNGU!, Think twice
 
huna jipya kawaambie hivi hata leo hawajaenda kazini na hawana mpango wa kwenda kwani kiu gani bana?

kwani huu ndo uzalendo kwa wachache kukaa kupiga mipasho na kudaka mil 10 huwu wengine tukisaga chaki ubaoni na kupata 400000?
ni uzalendo kwa wao mbali na hizo mil 10 bado anakwenda kuhujumu mali za nchi kama vile tanesco huku wakituacha hata mwanga wa kutumulikia usiku hakuna? na wanafunzi wetu wakilala mabweni yasiyo na umeme?

ni uzalendo kwao kukopeshwa mashanging ya mamilion wakati wapo waalim wanaotembea km 15 kwa siku kwenda na kurudi bila baiskeli ama pikipiki?

ni uzalendo kwao kuish maisha ya kifahari katika majumba ya kifahari huku mwl anayemfundisha mtoto wa mpiga kura wake akiachwa kulala kwenye nyumba ya udongo isiyokuwa na dirisha wala choo?

ni uzalendo kwao kukopeshwa kwa namna ambayo haimuumizi wala kumtesa lakini mwl huyu anakoapeshwa kwa namna inayomtesa na kumzidishia umaskini?

ni uzalendo kwao kuona kwamba mwl ni mpuuzi tu tena hana maana ktk hili taifa halafu bado wanatuletea wanafunzi tuwafundishe?

ni uzalendo kwao kuwa na kadi za bima zinazowapa nafasi ya kutibiwa watakavyo ilihali mwl anayefundisha sayansi akamwagaikiwa tindikali kabima kake hakamtoshi kumuuguza ingawa kana katwa pesa kila mwezi?
 
Doc anatibu watu 2000 kwa siku huku akinyimwa anachostahili, mwl anafundisha watt zaidi ya 1000 akiwa hajui anakula wapi analala wapi, lakini wengine wanatesa na mashangingi kwa kwenda kulala bungeni wakati wa2 hawa wanazidai teseka. Kweli Think twice na Mungu akusamehe maana hujui ulinenalo.
 
Sasa mjomba mbona naona kama tunakomoana wenyewe kwa wenyewe kaa waza fikiri kwamba migomo hii inawa affect vp kina pinda na wenzake au kunikomoamimi maskini mwenzako ambaye sina hata huo uwezo wa kukuongezea mshahara watoto wao wapo international schools waalimu hawajagoma kule wakiugua wana enda nje au private hospitals ambapo hakuna mgomo mimi ntaenda wap??????? Na umaskini wangu jamani ningeomba walimu warudi mashuleni kama mgomo kuna sensa goma kuhesabiwa na kuhesabu watu uone kama watasema liwalo na liwe tena
 
soma maelezo yangu hapo juu
 
mapinduzi hayaji ila kwa mtutu na sisi ndo tunaotaka mapinduzi ya mtutu na mtutu wenyewe ndio huu. tumegoma kweli jamani manake kama sule ninayofundisha mm waalim wote wapo nyumban wamelala na kabaki mkuu akilinda mali za shule.
 
Hili neno uzalendo ni kwaajili yetu walala hoi tu,wakati mwingine nalichukia.ukisikiliza viongozi wetu wanafiki kama aliweka huu uzi,wanadai walimu,madaktari wawe wazalendo,eti watanzania ni wapole,wakalimu na maneno mengine kama hayo,hivi huu uzalendo unaotolewa maagizo na hawa wanyanganyi,walishawahi kuutoa hata siku moja kwa watu wao,wanawavumilia tu miaka hamsini sasa,ni uvumilivu,hebu nyie viongozi jiwekeni kwenye nafasi ya walimu au madaktari,mtu amelimbikiza masai nika zaidi ya miwili hajalipwa,wewe kila kukicha unaongezewa posho,haitoshi kila siku unawaza uibe raslimali ipi ili upate pesa zaidi.sasa mwenzio huyu mshara wake hatoshi kununua chakula cha mlo mmoja kwenyefamilia ya fisadi,stahiki zake zi ngine ni sawa na vocha anayotumia fisadi par day,still unataka awe na uzalendo.ila siku ikifika mtalipa wezi wakubwa nyie.
 
haya bana! wewe si mzalendo, sisi tusio wazalendo tunaliendeleza kunji!
 
Kinacho niskitisha zaidi watanzania ni kwamba tunasahau machungu ya miaka mitano kwa posho ya siku moja vile vile kwa walimu walivyokimbilia kazi ya sensa wakasau madeni yao na mishahara midogo gomea hii kitu
 
Owkey ngoja nianzishe tuition kwa wadogo zangu mkirudi mtutangazie niwarejeshe
 
Salam kwenu wana jamvi hivi kweli uzalendo tuliofundishwa na mwalimu Nyerere,mapendo tunayofundishwa katika dini zetu tofauti hivi ni haki m2 unamwacha mwenzako anaugua mpaka anakata roho et unataka uongezewe mshahara unamwacha mwanafunzi alieamriwa na Mungu aishike sana elimu anaranda randa mitaani et waalimu wamegoma hivi kweli huyu Mungu aliekupa kipaji hicho cha kua daktari au mwalimu kweli unafikiri anapendezwa kwa kitendo unacho kifanya kisa ya pesa wakati mshahara unaoupata kuna watu hata robo yake hawapati lakini wanaishi namalizia kwa kutoa ushauri jamani tutafuteni njia nyingine za kutatua matatizo yetu zingine kama hizi hazifai kwa nchi kama hii ya liwalo naliwe nawasilisha

Kajipange upya
 
Uzalendo ungekuepo haki na usawa ungekuepo ktk jamii....cjui n uzalendo wa aina gan unaoutaka ww,n dhambi kubwa kudhulumiwa nawe ukakaa kimya..
 
tafuta muda wako wa ziada nenda shuleni muombe mwalimu mkuu kafundishe kama we ni mzalendo.
 
Back
Top Bottom