Uyoga wa magazeti kuelekea 2015

BAADA CUF NA CHADEMA KUVUNJA UTAMADUNI WA MZAHA WA 'VYAMA VYA MSIMU' KIKWETE SASA ULIMI NJE FULL MKANDA, JE HILI LA UYOGA WA MAGAZETI YA KI-UCHAGUZI UCHAGUZI?????

Baada ya CUF na CHADEMA kujikatalia kuitwa vyama vya msimu au vyama vya uchaguzi nchini, hivi sasa serikali ya Mhe Kikwete ulimi nje full-time bin mfululizo.

Mambo mchakamchaka kila kona kwani kwa mtaji wa hilo tusi la mwenyekiti wa CCM taifa kwa kambi ya upinzani nchini ni kwamba mmbwa aliyelala zaidi ya miaka ishirini ya vyama vingi nchini kaamshwa na usingiza kuanza kumrudia mwenyewe mwenye mzaha wake.

Je, kwa hili la kuota kwa uyoga wa sumu wa vijimagazeti uchochoroni nchini kwa mara ya kwanza mapema hivi nchini hata kabla ya mwaka wa uchaguzi kukaribia (miaka 4 bado), ndio tuseme hawa wenzetu huenda wamepata fununu kuna uchaguzi mkuu unakaribia nchini hata kabla ya muda uliozoeleka kidesturi nchi???

Ngoja kwanza, nikiliona tu lile gazeti la kila msimu wa uchaguzi la aliyekua mbunge wa Kawe, Bwana Adamje, likiwa limeanikwa chini katika baadhi ya mitaa ya jiji letu karibu na misikitini basi nitakua nimeshajithibitishia kwamba huenda hali si yenyewe kule Magogoni.

Tusisahau pia kwamba kwa mtaji ule ukaidi na kiburi juu ya katiba bora mpya ya wananchi na wala si bora katiba ya zamani ya watawala wa CCM kwenye gamba jipya ndio hilo wakati wake wa kulipigia msumari wa mwisho umewadia, vijana wa taifa hili we are going to strike so hard on the stubbon rulers around.
 
Biblia Takatifu inatuambia kwamba:
Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, atavunjika ghafla wala hatapata dawa. Mithali 29:1

Inamhusu sana Lowassa.
 
Biblia Takatifu inatuambia kwamba:
Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, atavunjika ghafla wala hatapata dawa. Mithali 29:1

Inamhusu sana Lowassa.


Angekuwa anasoma biblia angejua kumuogopa mungu wake na kujifunza kuwa muadilifu. Huyu bwana shetani wa maovu keshamuingiza kwenye majaribu na sasa majuto kayaweka kando.
 
kibanda ni mtu makini hawezi kufanya kazi na fisadi lowasa , kampuni anayofanyia ya mbowe mshahara ni mnono atakuwa kasave kaanzisha jarida lake apomgezwe
 
Haya si maneno matupu toka kwa wana-JF kwenda kwa Lowassa bali ukweli ni kwamba ni ujumbe kwa upole na unyenyekevu ambayo Mungu amekusudia imfikie Edwarrdi iliomo ndani mwake huyu ndugu Ngoyayi ambapo tofauti na hapo anguko la aibu lisije ikaonekana kitu ajali tena.

Atafutaye safari za kwenda ikulu kwa nguvu nyingi kiasi hiki na hata kuwa na utari wa kupenyeza mabilioni ya fedha kuinunua kwa ajiri karibu nusu ya bunge kuwa wafanyakazi wake binafsi kutekeleza agizo lake; mtu kama huyu Watanzania ni sharti tumuogope kama ukoma!!!!!!!!!!!!

Ikulu kule watu hawalipwi mabilioni anazotumia leo hii je akifanikiwa kuingia huko atazirudishaje ndani ya miaka 10 tu, kwa biashara gani, na je tunapata ujumbe gani kutokana na maisha yake ya huku nyuma???

Watanzania tujihadhari sana tena sana na mtu kama huyu.

Biblia Takatifu inatuambia kwamba:
Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, atavunjika ghafla wala hatapata dawa. Mithali 29:1

Inamhusu sana Lowassa.
 
Angekuwa anasoma biblia angejua kumuogopa mungu wake na kujifunza kuwa muadilifu. Huyu bwana shetani wa maovu keshamuingiza kwenye majaribu na sasa majuto kayaweka kando.
Mbopo wewe lazima "Nginde" unaijua vyema! Ya kwamba moyo wa tamaa wa huyu Bwana hauna uvumilivu hata kidogo.
Sitabadili msimamo wangu hata kama nikibaki peke yangu kwamba Rais kwa 2015 awe yeyote lakini isiwe huyu Bw.Lowassa. Ni hatari sana kwa Tanzania yetu. Anajaribu kujivua gamba, limenasa nusu
 
mzalendo,

inawezekana maanake hata mzee sitta anasema kuna watu kumi tu wanayumbisha nchi hii, hivi karibuni nimefuatilia magazeti ya rostam na lowassa,wao wakibomoa CDM wao ni Mhe Rais Slaa na Mhe Zitto tu,hayo magazeti husana mtanzania wanakwambia mbowe kakomaa kisiasa,
chonde chonde hapa sisemei ukanda hila muungano wa wafanyabishara kubaka nchi yetu, kwahiyo sishangai kabisa kwamba kuna element za kuungana kwa wafanya biashara kuzidi kothofisha mwenendo wa nchi hii

hitimisho hata kunguru atengenezwaje kulika kwake kunataka moyo

Wewe hujui siasa za nchi hii. Kwa mtanzania, mwanasiasa aliyekomaa chadema ni Zitto wala si Mbowe. Hapa sema tu una agenda yako!
 
Ni mjanja sana, yeye na timu yake. Wameona kwamba ni bora aanze kutokeza hadharani sana sana kipindi hiki ili watu wasemeeee mabaya yake na maovu yoooote mpaka waishiwe cha kusema. Ili ikifika wakati huo, watakuwa hawana la kusema, au hawana jipya. Ndiyo!! Si washayasema yooooote Bwana? kutakuwa na lipi tena?. Watakuwa wameishiwa cha kusema muda ukifika, hayakuwa na mashiko, yatakuwa yameshazoeleka masikioni mwa watanzania na kuwa si mapya tena. Watayapuuza. Naye atapeta.
 
Back
Top Bottom