UWT yakabiliana na chadema Dodoma

ccm kweli ni CHAMA CHENYE WATU WANAOFIKIRIA MBALI,THIS IS GOOD MOVE,CHADEMA HAWAWEZI KUWAUNGANISHA KUNDI LA WANAWAKE KWASABABU BAWACHA HALINA TASWIRA YA UTAIFA ZAIDI NI KUNDI LA WAKE ,MAHAWARA,NA NDUGU WA VIONGOZI WA CHADEMA pooor CHADEMA bao la kisigino wanawake hawapendi bugudha ndiyo maana waliandaa MISOSI,USAFIRI, sasa ukiwa mbishi kwa hili hupati mwanamama ata mmoja kwa kutumia MAANDAMANO,KEJELI,VURUGU,HUWEKI CHAKULA NA UTULIVU ZAIDI UTAPATA VIJANA AMABAO WENGI WAO NI WEZI NA WALE WANAFUNZI WAGANGA NJAA WANAOTUMIA MKOPO KUTONGOZEA MADEMU NA KWENDA BILLCANASS KWA MBOWE UKIISHA WANAKUJA KUPIGA KELELE NA JK.

mkuu,we mdada nasema mdada maana seki ni kifupi cha sekella,ni bora ungeweka mchango wako kisiasa. Tofauti na hapo unaongea matusi na kejeli dhidi ya wanachuo na wanaharakati mkuu. All the best in your opinion.
 
Mbona sofia simba mwenyewe anaogopa kujieleza kwa kizungu? Mbona J.K ana Dr. bado ni mbumbumbu ka kayumba? wewe yawezekana hujapitia rekodi za wanaharakati dunian ..a poor fool in readings. Common sense is mostly atmost! Ni bora usisome lakini ukiulizwa kwanini Tz ni masikini huweze kutoa sababu bora kuliko kuwa na PhD alafu huwezi kujua kwanini Tz ni masikani ...at the UDSM JK was among the very poorest students in his class
 
ccm kweli ni CHAMA CHENYE WATU WANAOFIKIRIA MBALI,THIS IS GOOD MOVE,CHADEMA HAWAWEZI KUWAUNGANISHA KUNDI LA WANAWAKE KWASABABU BAWACHA HALINA TASWIRA YA UTAIFA ZAIDI NI KUNDI LA WAKE ,MAHAWARA,NA NDUGU WA VIONGOZI WA CHADEMA pooor CHADEMA bao la kisigino wanawake hawapendi bugudha ndiyo maana waliandaa MISOSI,USAFIRI, sasa ukiwa mbishi kwa hili hupati mwanamama ata mmoja kwa kutumia MAANDAMANO,KEJELI,VURUGU,HUWEKI CHAKULA NA UTULIVU ZAIDI UTAPATA VIJANA AMABAO WENGI WAO NI WEZI NA WALE WANAFUNZI WAGANGA NJAA WANAOTUMIA MKOPO KUTONGOZEA MADEMU NA KWENDA BILLCANASS KWA MBOWE UKIISHA WANAKUJA KUPIGA KELELE NA JK.

Sijui ni kwa nini CCM wameshindwa kuvutia watu wenye akili timamu wawasaidie mbinu za kisiasa. Kama kweli hiyo ni mbinu inayofaa, Tatizo ni uchaguzi wa mzungumzaji. Kwa aliye na shule iliyoshiba hana hata muda wa kumusikiliza Sofia Simba. She won't be a model.

Kweli kama hizo quotations ni sahihi, hayo ni maneno ya kumushawishi binti wa University? Au University ni sawa na sekondari? Naona mazungumzo yalikuwa kama ya headmistress na wanafunzi wake akiwaonya juu ya hatari za mimba. Girls, kweli mulivumilia kusikiliza maneno kama hayo?
 
Ukilinganisha ccm inawatu wengi makini ukulinganisha na vyama vingine , Tatizo miafrika yote ikiwa na power mhhhh. Hapa hata wakija chadema wenda wakawa wajinga kuliko ccm walivyo. Angalia Kibaki wa kenya, angalia Gbagbo mpaka wamenasa kwenye pango anatokwa na jashooo kwelikweli, limtu liko pangoni lakini bado halikubali.
 
Form two siyo tatizo,Lema ajua kupanga hoja na ku-present hao wakina mama wamemwona ni tishio ndiyo maana wanatafuta udhaifu mtu,wasimsimange mtu kwa kutafutiza visingizio.kama ni form two mbona wanachuo wasomi walimsikiliza na kumfuata.
 
ccm kweli ni CHAMA CHENYE WATU WANAOFIKIRIA MBALI,THIS IS GOOD MOVE,CHADEMA HAWAWEZI KUWAUNGANISHA KUNDI LA WANAWAKE KWASABABU BAWACHA HALINA TASWIRA YA UTAIFA ZAIDI NI KUNDI LA WAKE ,MAHAWARA,NA NDUGU WA VIONGOZI WA CHADEMA pooor CHADEMA bao la kisigino wanawake hawapendi bugudha ndiyo maana waliandaa MISOSI,USAFIRI, sasa ukiwa mbishi kwa hili hupati mwanamama ata mmoja kwa kutumia MAANDAMANO,KEJELI,VURUGU,HUWEKI CHAKULA NA UTULIVU ZAIDI UTAPATA VIJANA AMABAO WENGI WAO NI WEZI NA WALE WANAFUNZI WAGANGA NJAA WANAOTUMIA MKOPO KUTONGOZEA MADEMU NA KWENDA BILLCANASS KWA MBOWE UKIISHA WANAKUJA KUPIGA KELELE NA JK.

Join Date : 11th April 2011
Posts : 12
Thanks 0 Thanked 1 Time in 1 Post
Rep Power : 0
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom