Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Mkewe huyuHuyu Angela Kairuki ni ndugu na Mbelwa Kairuki ambaye amechukua nafasi ya Januari Makamba? Kama ndivyo basi hakufanya kazi bure
Rais Jakaya Kikwete akipokea zawadi ya mchoro kutoka kwa Angela Kairuki, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kwa niaba ya akinamama wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), wakati wa hafla ya kumpongeza kwa ushindi mkubwa uliomwezesha kurejea madarakani baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 31 mwaka huu. Hafla hiyo iliyohudhuriwa pia na mke wa Rais, Mama Salma Kikwete ilifanyika kwenye viwanja vya Biafra, Kinondoni jijini Dar es Salaam. (Picha na Fadhili Akida)
Mkewe huyu