Melanoxylon
Member
- Nov 13, 2011
- 11
- 4
Wanabodi!
Heri ya mwaka mpya, taarifa nilizozipata kutoka chanzo cha kuaminika ni kuwa kampuni ya shamba la miti ya miwati (TANWAT) ambayo awali ilikuwa inamilikiwa na CDC (uingereza) na baadae kuuzwa kwa RAI group (INDIA) wamiliki wa mufindi paper mill MPM awali SPM.
Hali si shwari kwan kumekuwepo na hali uzalilishaji wa wafanyakazi wa hali ya juu (mishahara kidogo pia inachelewa, usalama kazin hauzingatiwi), security of employment not secured, cha ajabu zaidi kila sekta WAHINDI wamerundikana mpaka kazi za ukarani wa mafuta, supervisors, (in the name of experts) but pia kuna baadhi hawajui kusoma wala kuandika they only know KIHINDI.
Uongozi wa vyama vya wafanyakazi walishahoji juu ya masuala haya na kujibiwa kuwa Indian wanaingia nchini kwa kufuata taratibu zote but kwa mujibu wa sheria ya uhamiaji inayohusu kupata kibali cha ukazi lazima kuwe na vacancy (with special requirement) ambayo itakuwa imetangazwa ndani ya nchi na wataalamu hao kukosekana ndipo experts wanaingia.
Tanwat kwa udogo wake mpaka sasa hivi wpo 30+ indians, swali kwa hao niliwataja mnayajua haya?..... Tz tuna tatizo la unemployment kwa vijana (mnaowaita wazembe/wavivu) hawa watu nisahihi kujazana hapa???????? Remember TANWAT ndo chanzo cha Njombe mji.
Nawasilisha