UWT au UWCCMT?

AmaniKatoshi

Senior Member
Mar 31, 2009
158
14
Wanajf, salamu.

Ninajiuliza kwa nini umoja wa wanawake wa ccm wanaendelea kujiita UWT sijapata jibu.

Kwa nini mama yangu na wengine wasio wa stail ya Sofia simba wanaendelea kuingizwa kijumla jumla kwenye CCM?

Je UWT imeandikishwa na brela?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom