Elections 2010 Uwongo wa January Makamba huko Igunga

Kuna ka-trend huyu mwanasiasa anaanza kukatengeneza, kwanza baada ya kushinda au sijui kupewa jimbo la 'Bumbuli' akaja na ka website kake na ahadi luluki kwa wanabumbuli. Moja wapo ikiwa alidai atakopa sijui wapi huko anakokujua hili awekeze kwenye miradi ya bumbuli lakini chali. kuna suala la umeme alisema hatasimama kidedea na wizara yale yale chali. Inaonekana ni mtu wa kuropoka-ropoka si ajabu leo tena anakuja na uongo mwingine may be just be January Makamba is a 'Pathological liar'.
 
kilaza wetu maarufu baada ya kutua igunga amedanganya wananchi wa igunga eti macho ya dunia yako igunga
macho ya dunia ipi kama uchaguzi mkuu wa rais dunia haina habari

Topiki zingine bwana. Kuhutubia namna hii kunakubalika kabisa katika kujenga ushawishi na kuwafanya wasikilizaji wajione wao ndio watu muhimu zaidi. Its part of the art of rhetoric speech making. You would think the Home of Great Thinkers would know this already.
 
kilaza wetu maarufu baada ya kutua igunga amedanganya wananchi wa igunga eti macho ya dunia yako igunga
macho ya dunia ipi kama uchaguzi mkuu wa rais dunia haina habari

Ww ndio ulikuwa huna habari , na wasi wasi na jinsia na uraia wako !
 
Kuna ka-trend huyu mwanasiasa anaanza kukatengeneza, kwanza baada ya kushinda au sijui kupewa jimbo la 'Bumbuli' akaja na ka website kake na ahadi luluki kwa wanabumbuli. Moja wapo ikiwa alidai atakopa sijui wapi huko anakokujua hili awekeze kwenye miradi ya bumbuli lakini chali. kuna suala la umeme alisema hatasimama kidedea na wizara yale yale chali. Inaonekana ni mtu wa kuropoka-ropoka si ajabu leo tena anakuja na uongo mwingine may be just be January Makamba is a 'Pathological liar'.

Hakuna jipya waungwana. It's just MAGAMBAS IN ACTION!!!

Wewe ulitegemea mwizi Januari azungumze nini kwa Wana-igunga kama siyo kupiga porojo na propaganda za kizushi kama hii ya ATI MACHO YOTE YA DUNIA YAKO IGUNGA!! Yaani uchaguzi wa jimbo moja dunia yote ielekeze macho pale kweli? The man must be sick in his head!We know that MAGAMBAS always think using the MASABURI-SI Units! Kwa hiyo hawana jipya. Huyu jamaa bado anafikiri tuko kwenye enzi za UJIMA ambako watu unaweza kuwamezesha chochote! Siyo kwenye hii karne ya 21 bwana. Wanajidanganya wenyeeewe!

Pengine Bwana mwizi Januari Makamba angelisema kuwa MACHO NA MASIKIO YA WANA-CCM/MAGAMBA WOTE YAKO IGUNGA ANGELIELEWEKA KIDOGO! Maana kulingana na takwimu aliyoitoa jana Mhe. Freeman Mbowe(MB) na M/kiti(T)CHADEMA kuwa CCM MPAKA SASA WAMESHATUMIA 10BILIONI KWENYE UCHAGUZI HUU MDOGO WA IGUNGA INATISHA!!!Hii ni kuthibitisha kile anachosema Januari kuwa MACHO YAO,PESA ZAO,MAKADA WAO,MAFISADI WAO WOTE NA NGUVU ZAO ZOTE ZIMEELEKEZWA IGUNGA!!!

Naomba Mungu aingilie kati na ushindi uende CDM na baadaye tuwabane wazirudishe hizo 10 Bilioni zetu maana ni pesa zetu wanazichezea! Kama CCM wangelikuwa chama makini wangeliamua hiyo 10 bilioni kuingiza kwenye miradi ya maendeleo ya wilaya ya Igunga kwa kuborosha Shule,Zahanati,Barabara naamini Igunga ingelipiga hatua nzuri ya KImaendeleo.
 
Huyu jamaa ni bogas kabisa
***** umesahau ni makamba aliyeanzisha bajeti ya wizara ya madini na nishati ikaahirishwa? Kamanda Mbowe akamsifia na kusema DOGO HUKUSTAHILI KUWA CCM, SAIZI YAKO NI CHADEMA. NJOO CHADEMA TUWACHACHAFYE CCM? KASOME HANSARD.
 
yaani ukitizama makampuni makubwa kama bbc,cnn,aljazeera hawatangazi kabisa mambo ya tanzania wakati wa uchaguzi kama wanavyotangaza zambia na kenya,jamaa ni kilaza kinoma

Tukiwataka watangaze mbona simpo tu mkuu!!! Ni kuamua kuchinjana baada ya matokeo ya uchaguzi na baada ya hapo chaguzi zetu zijazo zote zitakuwa hewani kupitia hao mahasidi uliowataja!!
 
January yuko sawa wewe ndio kilaza tena mshamba! Kila siku VOA,BBC,D-welle wanatangaza kuhusu siasa za Uchaguzi mdogo Igunga!
 
January yuko sawa wewe ndio kilaza tena mshamba! Kila siku VOA,BBC,D-welle wanatangaza kuhusu siasa za Uchaguzi mdogo Igunga!

mkuu hatuongelei hizo redio mlizoletewa za kiswahili,tunaongea kuhusu tv za cnn,aljazeera,bbc,etc,,
ni hivi sisi wenyewe hapa tulifatilia kuanzia kampeni mpaka uchaguzi mpaka matokeo na kuapishwa hakuna hata steshen moja walioonyesha hilo
swala ni kwamba kwa nini majirani zetu wanaonyeshwa sisi hatuonyeshwi
soma mada vizuri!
 
kilaza wetu maarufu baada ya kutua igunga amedanganya wananchi wa igunga eti macho ya dunia yako igunga
macho ya dunia ipi kama uchaguzi mkuu wa rais dunia haina habari

Ukiwa mwanachama wa CCM uwezo wa kufikiri unapungua,na usishangae ukaona kuwa viongozi,wanachama na wapenzi wengi wa CCM ni waropokaji,kazi yao ni kupiga maneno tu....
 
Back
Top Bottom