Uwongo tunaousema kwenye Mabaa.

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Kona hii tuweke uwongo tunaousema au tuliousikia ukisemwa Baa.

Mi nilisikia njemba meza ya pili akimwambia binti eti yeye ana hela nyingi mpaka meneja wa benki huwa anamletea nyumbani,nikawaza mbona hata kina Bakhresa huwa tunagongana kwenye Mabenki ? sawa hawakai foleni kama sisi lakini wanakuja na kuhudumiwa pale.
 
sasa unadhani akimwambia ukweli kuwa anakaa kwa bibi nyau atamkubali?
 
Hahah kuna sound nyingine watu wanarusha unashindwa hata kuelewa huyo anayeambiwa huwa analichukuliaje...na kesho bint anaenda kuwahadithia wenzake dah shida kweli kweli
 
Hahaha! atawaambia mashosti zake kampata Bill Gates wa Bongo lol!
 
Na akipinduka tu wanachukua number kumtafuta Bill Gate ila kuna sound ukizipanga unafaid sana nina mshkaj wangu anawapiga changa la macho sana...na hivi kajaaliwa dust bin(kitambi)wanamuona Bonge ya lofa
 
usione hapa mjini nmepanga, ukienda kijijini kwetu nmejenga gorofa,nina magari...lakini wiki hii sina raha kabisa sababu nimekuta boss wangu kanikata elfu10 kwenye mshahara wangu.mia
 
Hahaha! sasa wewe mwenye magari/maghorofa buku 10 zinakuhuzunisha ? lol!
 
usione hapa mjini nmepanga, ukienda kijijini kwetu nmejenga gorofa,nina magari...lakini wiki hii sina raha kabisa sababu nimekuta boss wangu kanikata elfu10 kwenye mshahara wangu.mia

Hahah hapo ulimmaliza maana atawaza gorofa la kijijini badala ya kuwaza kwa nini unakosa raha kwa sababu ya elfu 10 wakat we fogo
 
Kuna mwingine alionekana akiandika majina ya mabinti pale Mlimani City eti yeye ni bosi Loan Board na haitapita wiki hela zitaingia kwenye akaunti zao wasihofu tena lol!
 
mi mabaa medi wanajua kila gari lenye pleti namba ya njano ni gari langu
Duh! mkuu uanze kusema za DFP bana lol!

Siyo uongo wala nini..kila mwanamke baa anaonekana mzuri kuliko waifu nyumbani.
Kuna jamaa tulikuwa tunacheza nae pool akawa anatongoza demu la ovyo tu mpaka kuchukua namba yake ya simu,baadae akapitiwa na mkewe warudi nyumbani wote tukabaki midomo wazi yaani bonge la mwanamke uzuri/shepu tukashangaa mtu ana kifaa hiki home anahangaika na wauza sukari yaani wanaume we acha tu.
 
Kona hii tuweke uwongo tunaousema au tuliousikia ukisemwa Baa.

Mi nilisikia njemba meza ya pili akimwambia binti eti yeye ana hela nyingi mpaka meneja wa benki huwa anamletea nyumbani,nikawaza mbona hata kina Bakhresa huwa tunagongana kwenye Mabenki ? sawa hawakai foleni kama sisi lakini wanakuja na kuhudumiwa pale.

ukweli ni kuwa binti yeyote unayemtaka kimapenzi bila kumdanganya we andika kibuti tu, na ndo maana mi nawapata kirahisi kwa kuwadanganya, ila lazima uwe kwenye situation ya uhalisia wa uongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom