Uwiii... Nchi ya kutegemea bodaboda kama ajira kwa vijana!

Jamani jamanii...natamani kufunga redio kusikiliza kikao cha bunge yaani kila mbuge anasisitizia bodaboda kuwa chachu ya kusaidia vijana eti waondolewe kodi yaani akili zetu wote pamoja na mie tumeshindwaa kuwaza mbinu mbadala ya kukuza uchumi wa kisasa tunafikiria uchumi wa bodaboda.....kaziiii ipoooooooooooooooooooooooooooooo:hand:

Lazima wawakumbuke wanawapiga tafu sana wakati wa kampeni.
 
Back
Top Bottom