Uwezo wa tendo la ndoa

Mbava

Member
May 18, 2011
30
1
Ni katika umri upi Mwanaume huwa kiwango cha uwezo wa kufanya tendo la ndoa hushuka. Msaada jamani? Mpooo!
 
Wanawake wametofautiana na maumbile ya walio wengi wao hua wanapofanya hio shughuli hawabahatiki kufika safari yao.... Au wakifika safari inachukua siku nyiingi mno hivyo kumfanya mwanaume anaemsindikiza hio safari kuchoka na kuishia njiani... au akafika kabisa - lakini kutotaka arudie safari na huyo mdada/mmama. Hiyo inawafanya wanawake wengi akifika utu uzima na akaolewa kwake inatosha hajali hio safari wengine wakiwa na umri hata chini ya miaka 30...

The most common ni kipindi ambacho mwanamke akifika wakati wa menopause from 45 -60 (hedhi hukatika hapa) ni moja ya sababu kubwa mana humfanya mwanamke ajisikie kama kapitwa na wakati na uzee ndo usha ingia - na kama unavyoelewa kua psychology ina play part kubwa saana katika sex...

Hata hivyo personaly naamini hakuna umri kamili... ina vary from a woman to woman, conditions and environment pia... Ila sana kuanzia miaka ya late thirties (hasa wanaoishi maisha magumu) to hata early sixties (mara nyingi maisha mazuri) kwa wale wachache wenye bahati yao ya kuweza safiri bado....
 
mimi ni 42 lakini kaka speed yangu inatisha,lakini life style nayoishi nafikiri inachangia sana tuu
 
Ni katika umri upi Mwanaume huwa kiwango cha uwezo wa kufanya tendo la ndoa hushuka. Msaada jamani? Mpooo!


Mbava utanisamehe Dear... naona nimejibu kutumia assumptions badala ya kuelewa kwanza... hop you understand. Sorry...
 
inatengemea mana huwa haitabilik mana kama nguvu anayo bac mzigo anapiga kama kawa
 
hakuna jibu sahihi la muhimu ni furahia chochote ulichonacho na pata lishe na mazoezi ya kutosha hasa madogo madogo ya ktuembea...............angalau kilometa mbili kwa siku.......................
 
Body exercise and meal balance ni vitu muhimu, kuna mdingi anaishi jirani na hapa nilipo ana kama nyundo 60 hv, lkn kuna bar maid mmoja alijirengesha katupa mchapo kwamba yule mzee acha, alimfunga kama goli 5 hv na gemu akataka kuendelea. Binti wa watu akasema baaasi. Huyu mzee kaka kila asubuhi ni jogging tu, nina mwaka wa nne hapa kitaa, sijawahi kumuona akiacha kufanya mazoezi, kaka tuzingatie mazoezi na msosi hasa wanga na mbogamboga,
 
Nasikia wanaume wenye vitambi hawawezi kazi sijuhi kama ni kweli. Najitahidi kumpa mzee balanced diet asije pata kitambia akashindwa kazi!
 
Labda mtoa maada ana matatizo hayo! sema tukusaidie maana kama ni tatizo lipo hata kwa vijana wadogo.
 
hakuna jibu sahihi la muhimu ni furahia chochote ulichonacho na pata lishe na mazoezi ya kutosha hasa madogo madogo ya ktuembea...............angalau kilometa mbili kwa siku.......................

Hata ukifanya mazoezi Mkuu kama ukipewa mbaya ni mbaya tu hautofanya lolote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom