Uwezekano wa mimba moja ya baba tofauti

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
Ingawa sio common sana kuna uwezekano wa mama kuzaa mapacha ambao baba zao ni tofauti.hii huitwa heteropaternal supefecundation.

Hutokea iwapo mama huyo atashiriki tendo la ndoa na wanaume wawili tofauti ndani ya muda mfupi baada ya ovulation.

source; www.associatedcontent.comheteropaternal superfecundation

Usishangae kati ya mapacha wako moja ni mwarabu mwengine mweusi tii, muulize vizuri mkeo.

=============================================
Leo nimepokea ujumbe wa maandishi kwenye simu (katika group) ambao ulitufanye tubishane kwa muda kidogo,

KWA TAARIFA YAKO:
Mwanamke huweza kuzaa MAPACHA wa BABA TOFAUTI. Hii ni kwasababu mayai mawili huweza kutoka kwa wakati mmoja lakini kila moja likachavushwa na mwanaue tofauti.
Source: Mwananchi (facebook page)

Siku zote huwa najua kuna monozygotic (identical) na dizygotic (fraternal), ila hapa nahitaji tuzungumzie sana fraternal ambao huzaliwa na mama mmoja lakini baba tofauti (katika pita pita mitandaoni kwa technical term huuitwa "heteropaternal superfecundation.").

Kwakua Biology nilikimbia ikabidi nijiridhishe mitandaoni

Ambapo kwa mara ya kwanza case iliripotiwa na John Archer - daktari wa kwanza kupata medical degree in the United States - 1810 ambapo anadai mzungu (white woman) alishiriki mapenzi na mzungu (white man) na mtu mweusi (black man) kwa muda mfupi ambapo baadaye alizaa one white, the other of mixed race.

Hii nimeitoa babycenter.com

When we see twins, we may assume that both eggs were fertilized during a single act of intercourse. But it's quite possible for one egg to be fertilized during one act of intercourse, and the other during another. For example, consider a couple that has a morning quickie, followed by a more leisurely round that evening.
It's only logical, then, that when a woman has sex with more than one man while she's fertile, "heteropaternal superfecundation" can occur. That egg be fertilized by a different father.

Hawa walikiri kukutwa na hichi kitu ingawa kiliwastua

Mum Charlotte Hilbrandt became pregnant by ex-husband Michael AND new boyfriend Tommy when she slept with both men within 48 hours. Hii iliandikwa na dailynews na the guardian

Huyu kutoka Texas

But that's what she got - along with two beautiful boys - when she gave birth to twins of different fathers nearly a year ago.
"Both of them have similar appetites. They like to play with their older brothers. They like to play with each other," Mia Washington told the TODAY show Thursday - Hii nimeitoa today.com by Gerard DeMarco

Yawezekana wapo ambao walikua hawajui kama mimi ama waliwahi sikia lakini wakabisha kabisa kuwa haiwezekani wanawezajiridhisha. Huku wataalamu wa mambo haya wakitufafanulia zaidi.
 
Hata mimi niliwahi kuhisi hili jambo nikaambiwa kuwa ni kitu kisichowezekana
 
It's Possible, Kwa baadhi ya wanawake japo sio wote ambao kila ovary inatoa OVUM kwa muda tofauti mfano wiki moja baada ya ovom ya kwanza kutoka, So anaweza kumeet na mwanaume mmoja akarutubisha one ovum kisha maybe after 4 day or say 5 akameet na mwingine ae akawa na bahati ya kufertilize the next one. So hpo atakuwa ameconceive fratenal twin ila kila mmoja akawa na different genetic material hali itakayothibitisha babayao sio mmoja. hiyo imeshatokea kwa mama mmoja kuzaa watoto wa RACE tofauti kwamfano mtoto mzungu na Mwarabu wakati yeye ni Mmatumbi.
 
ingawa sio common sana kuna uwezekano wa mama kuzaa mapacha ambao baba zao ni tofauti.hii huitwa heteropaternal supefecundation.hutokea iwapo mama huyo atashiriki tendo la ndoa na wanaume wawili tofauti ndani ya muda mfupi baada ya ovulation.
source;www.associatedcontent.comheteropaternal superfecundation
usishangae kati ya mapacha wako moja ni mwarabu mwengine mweusi tii,muulize vizuri mkeo.

na kama mapacha hawafanani/kushabihiana kabisa though wana same sex?
 
Leo nimepokea ujumbe wa maandishi kwenye simu (katika group) ambao ulitufanye tubishane kwa muda kidogo,

KWA TAARIFA YAKO:
Mwanamke huweza kuzaa MAPACHA wa BABA TOFAUTI. Hii ni kwasababu mayai mawili huweza kutoka kwa wakati mmoja lakini kila moja likachavushwa na mwanaue tofauti.
Source: Mwananchi (facebook page)

Siku zote huwa najua kuna monozygotic (identical) na dizygotic (fraternal), ila hapa nahitaji tuzungumzie sana fraternal ambao huzaliwa na mama mmoja lakini baba tofauti (katika pita pita mitandaoni kwa technical term huuitwa "heteropaternal superfecundation.").

Kwakua Biology nilikimbia ikabidi nijiridhishe mitandaoni

Ambapo kwa mara ya kwanza case iliripotiwa na John Archer — daktari wa kwanza kupata medical degree in the United States — 1810 ambapo anadai mzungu (white woman) alishiriki mapenzi na mzungu (white man) na mtu mweusi (black man) kwa muda mfupi ambapo baadaye alizaa one white, the other of mixed race.

Hii nimeitoa babycenter.com

When we see twins, we may assume that both eggs were fertilized during a single act of intercourse. But it's quite possible for one egg to be fertilized during one act of intercourse, and the other during another. For example, consider a couple that has a morning quickie, followed by a more leisurely round that evening.
It's only logical, then, that when a woman has sex with more than one man while she's fertile, "heteropaternal superfecundation" can occur. That egg be fertilized by a different father.

Hawa walikiri kukutwa na hichi kitu ingawa kiliwastua

Mum Charlotte Hilbrandt became pregnant by ex-husband Michael AND new boyfriend Tommy when she slept with both men within 48 hours. Hii iliandikwa na dailynews na the guardian

Huyu kutoka Texas

But that's what she got — along with two beautiful boys — when she gave birth to twins of different fathers nearly a year ago.
"Both of them have similar appetites. They like to play with their older brothers. They like to play with each other," Mia Washington told the TODAY show Thursday - Hii nimeitoa today.com by Gerard DeMarco

Yawezekana wapo ambao walikua hawajui kama mimi ama waliwahi sikia lakini wakabisha kabisa kuwa haiwezekani wanawezajiridhisha. Huku wataalamu wa mambo haya wakitufafanulia zaidi.
 
Attachments

  • 1443187868267.jpg
    1443187868267.jpg
    8.3 KB · Views: 258
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom