Uwezekano wa kubadili chuo

kdany

Senior Member
Jul 20, 2012
149
25
Wakuu habari,hv inawezekana kama mtu amechaguliwa C.B.E ya dodoma akaomba kuhamia C.B.E ya dar,natanguliza shukrani.
 
Hiyo kitu inawezekana kabisa ongea na utawala itakuwa pouwa, but kama uliomba kwa tcu una kazi kubwa na safari ndefu coz huwa wanasumbua sana kufanya transfer
 
Hiyo kitu inawezekana kabisa ongea na utawala itakuwa pouwa, but kama uliomba kwa tcu una kazi kubwa na safari ndefu coz huwa wanasumbua sana kufanya transfer

swahba nmeomba kuptia tcu,kuna hoja ya msingi inayonipelekea kuwa hvyo
 
Na kama utakua na mkopo itakusumbua baada ya kuhama utasubr cku kadhaa had mkopo uhamshwe
 
Duh fanya hivyo watakuamisha tuu coz wako kwa kazi ya admission zenu xo zey must hlp u
 
Nenda kwenye chuo unachotaka kuamia, ongea utawala kuhusu nafasi, ukipata rudi TCU uwaambie wakufanyie transfer ya jina. Utafanikiwa.. Usisahau kumuomba mungu
 
Na kama utakua na mkopo itakusumbua baada ya kuhama utasubr cku kadhaa had mkopo uhamshwe

no,itc just a private sponsershp,ndo maana nataka niwe dar coz anaenispons anataka niwe karbu
 
Back
Top Bottom