Uwepo wa makahaba/machangudoa, je tuwalaumu wanaume?

Hii ni kazi tena inaleta faida kwa Jamii 1.wanasaidia wanaume wenye midomo zege na aibu ya kutongoza 2.wanasaidia wanaume walio bussy na kazi na biashara ambao wanakosa muda wa kutongoza na kufuatilia demu miezi. 3. Ni chanzo cha ajira na hivyo kupunguza umasikini 4. Chanzo cha mapato cha serikali iwapo itaweka tozo kwenye hii biashara ulaya wanapeta kwa kodi hii!!
 
kwani kuna machangu wana magari na nyumba nzuri za kuishi pamoja na fedha lkn bado wanajiuza
 
kuna wakaty nakumbuka mwanamke mmoja ambaye alikuwa anafanya kazi benki kuu alikutwa anajiuza mitaa ya ohio, je huyu naye ana shida ya fedha
 
Hii ni kazi tena inaleta faida kwa Jamii 1.wanasaidia wanaume wenye midomo zege na aibu ya kutongoza 2.wanasaidia wanaume walio bussy na kazi na biashara ambao wanakosa muda wa kutongoza na kufuatilia demu miezi. 3. Ni chanzo cha ajira na hivyo kupunguza umasikini 4. Chanzo cha mapato cha serikali iwapo itaweka tozo kwenye hii biashara ulaya wanapeta kwa kodi hii!!

Lol, inasikitisha
 
hii ni kazi tena inaleta faida kwa jamii 1.wanasaidia wanaume wenye midomo zege na aibu ya kutongoza 2.wanasaidia wanaume walio bussy na kazi na biashara ambao wanakosa muda wa kutongoza na kufuatilia demu miezi. 3. Ni chanzo cha ajira na hivyo kupunguza umasikini 4. Chanzo cha mapato cha serikali iwapo itaweka tozo kwenye hii biashara ulaya wanapeta kwa kodi hii!!

halafu tena, hii inasaidia kuondoa stress kwa wanaume wanaopata maudhi kila siku kwa wake zao. Inasaidia kutuliza mawazo hasa pale mwanaume anapozidiwa na hisia ila hana appointment yoyote na mke wake yuko mbali. Hutuliza mawazo na kumfanya mti atulie na kuwaza upya. Ila ukimwi nao ...........pamoja na magonjwa ya zinaa nayo.................... Utachagua. Stressni zaidi ya ukimwi.
 
Back
Top Bottom