Uwepo wa ****** (JK) kila weekend ndani ya hotel yake ya Bilila inamaanisha nini??

hbr nilizozipata ni kwamb hakika ****** wetu (jk) kila mwisho wa week lazima atie nanga ndani ya bilila hotel serengeti.

Je? Ndio tetesi ya kwmb yuko mbioni kumega sehemu ya hifadhi kwa wahisani??

Kama kuna mwenye uwerevu zaidi na hili atujuze wajamen!
si kweli, mimi ni muhudumu bilila.
 
Hivi zile kelele za serikali kulazimisha barabara ya lami kupitia Serengeti haikuwa na uhusiano na Bilila?
 
Barabara inayohusishwa kupita Serengeti 95% ni kwa ajili ya Bilila hotel!

Na cjui ni kwnn members wengine wanatokwa na mapofu kiasi kwamba wanamjua mlengwa wa hotel ile.
Sasa Mi na wengine tunakuhaki ya kwmb ni wa yule DHAIFU wetu babariz amini msiamini ila habari ndio hiyo.
 
Back
Top Bottom