Uwepo wa ****** (JK) kila weekend ndani ya hotel yake ya Bilila inamaanisha nini??

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Hbr nilizozipata ni kwamb hakika ****** wetu (JK) kila mwisho wa week lazima atie nanga ndani ya Bilila Hotel Serengeti.

Je? Ndio tetesi ya kwmb yuko mbioni kumega sehemu ya hifadhi kwa wahisani??

Kama kuna mwenye uwerevu zaidi na hili atujuze wajamen!
 
Kuna wakati nilitembelea pale Ngurdoto Lodge nikaonyeshwa Villa yake maalum ambayo hata utoe pesa ngapi hawakukupangishi ni mpaka Uongozi uthibitishe kuwa JK yuko nje ya nchi!! Jamaa anaingizana pale wakati wowote so long as yuko Nchini! Sishangai kama siku hizi kahamia viwanja vya Billa!!! Ndo Rais wetu mazee!!
 
Huyu jamaa pasua kichwa, ni kama vile anafanya vimbwenga makusudi ili kutuchanganya sie raia.
 
waongo mshikaji hausiki na hiyo hotel. Ulizeni mpewe data na wala si kupotoshaumma
 
Huu ni uzushi unaoipunguzia JF heshima yake; ungesema kila weekend mkweree yuko nyumbani kwake Msoga ningekuelewa lakini hilo la BILILA kila weekend ni uongo mzito!!
 
jf inaanza kufulia kwa habari za kizushi nitasepa karibuni ukisoma habari nane amini moja saba waachie wenyewe ni blog inayoelemea zaidi uchochezi wa vurugu na si wa kuleta maendeleo.
 
jf inaanza kufulia kwa habari za kizushi nitasepa karibuni ukisoma habari nane amini moja saba waachie wenyewe ni blog inayoelemea zaidi uchochezi wa vurugu na si wa kuleta maendeleo.

Hujalazimishwa ku'comment wala kuingia humu jamvini..by the way vipi matokeo ya jana EURO?
 
Huyu jamaa pasua kichwa, ni kama vile anafanya vimbwenga makusudi ili kutuchanganya sie raia.


Ila kwa hakika ndio sasa amedhihirishia wanainchi UDHAIFU wake kiutendaji!

Hivi ana safari ya ngapi juu ya anga kwa tabibu ya hapa jamvini?
Maana nasikia yupo safarini.
 
JK ni kijiwe tu cha kupga stor na masela wake.......
Kwan ww huna kijiwe chochote?

T.I.T (This Is Tanzania)
 
Back
Top Bottom