Uwekaji wa password kwenye simu kwa wapenzi/kwenye ndoa

Labda kwa ushauri wa bure tu....ukiona mtu yuko so protective na simu yake kwa mwenza wake, basi most likely huyo ndio anajifunza kucheat! Cheaters 'wazuri' wanakupa 'full access' na unatoka kapa!
ha ha ha ha ha ha ha wewe chiboko!!.. ila ni kweli!!
 
mwanaume normal au mwanamke normal hawezi kumwambia mwenzake habari zake zote na kwa (100%). vinginevyo unahatarisha
bond. hivyo c vema pia kuperuzi peruzi cmu ya mwenzako kwani waweza ona mambo mengi na yakakuletea shida tofauti na
usingeona. to avoid that hivyo pw ni muhimu kwa usalama wa wapwndanao.
 
Umuhimu upo pale pale kwani,password si kwa ajili ya mpenzi tu bali hata mtu mwingine asiye husika,cha muhimu ni makubaliano ya wapenzi pasipo hofu ya kuibiwa.
 
mimi siwezi mruhusu, kwani kuna mambo ya kiofisi na ya kifamilia ambayo awezi kuyammudu kuelezea au kutoa uhamuzi
 
Mie na mupedhi thimu dhetu tumezijengea na vibanda vya chuma kila m2 na kibanda chake na kufuli la solex kubwaaaa hakuna ruhusa kugusa cm ya mwenzio ole!!!!
 
wadau hii imekaaje?..mtu na mpenzi wake, kila mtu ametia password kwenye simu yake, mtu na mkewe wa ndoa, kila mtu ametia password kwenye simu yake!!iyo ni sahihi?..inaleta picha gani?
 
sio sahihi mkuu. Mkishakaa pamoja maanake mmekuwa mwili mmoja. sasa inakuwaje tena mambo ya password. Sio tu hiyo hata simu yenyewe iwe huru kati ya wanandoa hao. kama kuna kinyume chake.... basi mtaarifu mwenzio kwamba simu yangu usiifutilie maana mi sio mwaminifu tena kwako na ukitafuta utapata habari ambazo zitakushtua. Nadhani baada ya taarifa hiyo weka password.
 
sio sahihi mkuu. Mkishakaa pamoja maanake mmekuwa mwili mmoja. sasa inakuwaje tena mambo ya password. Sio tu hiyo hata simu yenyewe iwe huru kati ya wanandoa hao. kama kuna kinyume chake.... basi mtaarifu mwenzio kwamba simu yangu usiifutilie maana mi sio mwaminifu tena kwako na ukitafuta utapata habari ambazo zitakushtua. Nadhani baada ya taarifa hiyo weka password.

Kweli kabisaaaaaa ndoa inahitaji uaminifu
 
wadau hii imekaaje?..mtu na mpenzi wake, kila mtu ametia password kwenye simu yake, mtu na mkewe wa ndoa, kila mtu ametia password kwenye simu yake!!iyo ni sahihi?..inaleta picha gani?

Haina shida, c kila mmoja kaamua kupiga kufuri kwenye cm yake dhidi ya mwenzake?! bila shaka wamekubaliana kuishi hivyo na ndio maana wote wamepiga PIN na maisha yanaendelea! Kama ingekuwa ni mmoja ndo kapiga PIN; then ningesema tht is completely unacceptable! Hata hivyo, ktk hali ya kawaida, tukiacha habari za kuaminiana au kutoaminiana, this practice is completely dangerous! Unakuta mtu ameweka PIN the whole phone; sasa assume mtu kama huyo anapata ajali na kuwa ktk hali ya kutojitambua!!! Wasamalia wema wanaweza ku-opt kuchukuwa simu yako ili wawapigie ndugu zako! Wanachukua simu; wanakuta umepiga LOCK!!!!! therefore, wakati unafikiria kuweka PIN kwenye simu yako, jaribu vilevile kufikiria madhara yanayoweza kutokea in case of emmergency! Na kama unaona ni lazima kuweka PIN, then don' do it upande wa phonebook! Kuna baadhi ya simu, kuna option za ama kuweka PIN simu au kwenye moja ya functions zake kv phonebook au upande wa SMS! weka upande wa SMS kama unaamini ni lazima kufanya hivyo ingawaje the best option ni kutokuwa kicheche!!! Kicheche kila siku hana amani ktk maisha yake!!!!!!!!!!!
 
no doubt kila mtu anamambo yake ambao hapendi mwenzie ajue,vinginevyo hamna haja ya password
 
Vipi ukiweka password anayoijua mwenzi wako?

sasa wahaya kama ukiweka anayoijua ili iweje maana mfano ulio tolewa haop juu ni dhahili kabisa sasa ukipata ajali utakuwa nae au?nani atakusaidia ku unlock...mambo mengine yafanyike kwa busara sana maana kama juzi kwenye ajali ya basi baba mmoja kafariki na alikuwa akielekea dar kuchukua mzogo ..kasheshwe mama hajui ni mzigo gani, hajua ni shling ngapi, hajui account za mumewe hajau hata namba ya simu ya dealer ..kazi hapo kwa wanafamily
jmani watanzania wenzangu tujufunze tu kuweka bayana baadhi ya mambo, umimi ni mbaya sana na safairi hiz za kuendeshwa na wanywaji kutoka kibaha tu mpaka kariakoo lolote laweza tokea..
asanteni ni hayo tu nawakilisha
 
Back
Top Bottom