pauline
JF-Expert Member
- Dec 26, 2010
- 650
- 140
nawaonea huruma wanawake na wanaume ambao wako kny situation kama hii ni obviously wanaamini hawawezi kumove on bila huyo mtu,mtu kuweka password ni dalili huyo mtu anacheat mie siamini kuna senstive information ambazo hata mkeo wa ndoa unaamini hatakiwi azione!,huu ni upuuzi mtupu...kwa kweli mie akiweka password nitampa ultimatum achague mie au simu?obviously simu= kimada!so uamuzi ni wake!