kanywaino Senior Member Sep 10, 2010 171 19 Nov 18, 2010 #1 wadau mnaonaje kama mama prof tibaijuka akipewa wizara ya fedha haiongoze? na je magofuri apewe wizara gani??
wadau mnaonaje kama mama prof tibaijuka akipewa wizara ya fedha haiongoze? na je magofuri apewe wizara gani??
Ndachuwa JF-Expert Member Mar 8, 2006 6,269 4,569 Nov 18, 2010 #2 Mh Prof. Tibaijuka (MB) kwa nini alishushwa cheo kule HABITAT? Ni kwa sababu utendaji ulikuwa juu au chini?
Mh Prof. Tibaijuka (MB) kwa nini alishushwa cheo kule HABITAT? Ni kwa sababu utendaji ulikuwa juu au chini?