Uwaziri...bado kuna kitu kama hicho?

Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,253
11,598
Kwa wale ambao tumeona awamu zote nne za uongozi wa nchi yetu, na hata wale ambao hawakuona ila wameweza kuchukua muda wao kufuatilia jinsi nchi ilivyoongozwa..naomba tusaidiane hapa,

Hivi hadhi ya cheo cha uwaziri bado ni ile ile tulioyoijua katika miaka 1960, 70, 80 hadi sasa??


DC
 
Back
Top Bottom