Uwanja wa Suye (Arusha) unawafaa CHADEMA baada ya kufungwa NMC

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Nimekuwa nikikusanya maoni toka jana ya M'badala wa uwanja wa NMC 'chadema square' baada ya kufungwa na serikali ya Magamba huku walio wengi wakipendekeza Uwanja ama eneo la wazi la Suye Masai camp mandela road utumike kuendelea kusaka ukombozi.

WALIOTOA MAONI YAO WAMEZINGATIA KUWA HAKUNA ENEO JINGINE MBADALA HAPA MJINI TOFAUTI NA HILO LINALOFIKIKA KIRAHISI NA WAPO TAYARI KUFIKA KWANI HATA PALE NMC HUWA WANAENDA KWA KUWA HAWAISHI KARIBU NA HAPO NA WAPO TAYARI KUTUMIA GHARAMA KWENDA POPOTE CHAMA ITAKAPOPENDEKEZA.

Nakaribisha maoni binafsi ambayo makamanda wetu wakuu watayafikiria. ILA ANGALIZO KWA MAGAMBA WASIJE TAFUTIA SOKO ENEO LENYEWE KUIDHIBITI CDM.
 
kuna uwanja wa railway station ,kituo cha treni meter 300 kutoka uwanja wa nmc ,unafaa tena mkubwa kuliko wa nmc ,
 
Pale railway likitokea bomu hakuna pa kupita..umezungukwa sana na magodown mkuu
 
Ila suye si iko mbali na katikati ya mji,je response za watu itakwaje?
 
Nasapoti railway,kwani faida zake ni kubwa kuliko hasara,hatuendi mkutanoni kwenda kupigana! Tuelewe kuwa hao ccm kama watadhamiria kutuua basi watatuulia popote pale bila kujali ukuta or what,hata nyumbani watakufuata tu(kumbuka prof mkyusa)tuombe MUNGU lisitokee baya.
 
Vipi uani kwa kamanda Lema? tukiondoa mabanda ya mbwa na bata si panafanaa arifu,manake hapahitaji kibali cha polisi wala ruhusa kukutana ni full kujiachia 24/7.
 
Kama vipi mikutano iendelee kufanyiwa kwenye mioyo ya watu maana wapenzi na wanachama wa chadema wanakipenda chama kutoka mioyoni mwao sio kwa sababu ya maeneo kama chadema square au slaa square kule mbeya.

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
Wakuuu wa arusha embu 2peni idadi ya viwanja huko arusha
magamba wameshaweka fitna
 
Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.[/QUOTE]

aiseee babaangu blackberry 8520 ndio nini embu nisaidie babaangu
 
Mnawaza mikutano tu. Mida gani mtafanya kazi ili kujenga kesho yenu? Mnatuiga usalama? Hamjui tunalipwa?
 
Wakuuu wa arusha embu 2peni idadi ya viwanja huko arusha
magamba wameshaweka fitna

Kuna uwanja wa Tindigani pia panaweza kuwa mahali pazuri pa kukutanikia upo Kijenge juu karibu na shule ya Sekondari Kimandolu na ni mkubwa vya kutosha.
 
kuna uwanja wa tindigani pia panaweza kuwa mahali pazuri pa kukutanikia upo kijenge juu karibu na shule ya sekondari kimandolu na ni mkubwa vya kutosha.
sijatembelea tindigani karibuni ila suye ni mkubwa na sio mbali na mji kwani kuna daladala pia kuna barabara ya mkato kutokea tindigani kimandolu hivyo wanachama wa cdm kimandolu, sekei kijenge, ngulelo, tengeru na maeneo mengine watafika kirahisi mmno
 
sijatembelea tindigani karibuni ila suye ni mkubwa na sio mbali na mji kwani kuna daladala pia kuna barabara ya mkato kutokea tindigani kimandolu hivyo wanachama wa cdm kimandolu, sekei kijenge, ngulelo, tengeru na maeneo mengine watafika kirahisi mmno

kiukweli suye siyo centre nzuri bado maana itawalazimu watu kupanda gari mbili au kutembea sana ilhali kuna viwanja kama railway bado vinaweza kutumika,soweto pia panafaa sana
 
Back
Top Bottom