Uwanja WA NMC JIJINI ARUSHA WAFUNGWA RASMI CHADEMA YANGURUMA!

pale FFU kuna kiwanja kipo pale na ulinzi wa kutosha hakuna haja ya serikali kuwasha gari kuja NMC .TUNAPUNGUZA GHARAMA tuombe kibali kitumike ,pia kuna maeneo ya wazi ambayo yapo nje ya mji kinachohitajika sasa sio maandamano hapana tumieni msemo wa matembezi ya hisani ,kuna watu hawalali wanapofikiri cdm kesho ina mkutano ,kwa kweli hawa jamaa ni watu wa amani sana tofauti na mnavyofikiri
 
Wakati wa kuwa na kituo cha redio na televisheni umewadia. Mbona CCM wana kituo cha redio, magazeti na TBC? Michango iasisiwe right now.
 
Jamani ehh, gharama ya mabomu ni kubwa sana, tunaomba msifanye fujo lasivyo serikali itaingia hasara kubwa.
 
Hii ni dalili kuwa NCHI HII inaongozwa na viongozi dhaifu.Ni sawa na kuchana picha wakati negative wanayo CHADEMA.
 
Wakati wa kuwa na kituo cha redio na televisheni umewadia. Mbona CCM wana kituo cha redio, magazeti na TBC? Michango iasisiwe right now.
Hela yote inaenda kwenye ujenzi wa nyumba ya lema, hakuna bajet ya television wala radio.
 
nasikia wanajenga soko la wafanya biashara ndogo ndogo....

kama hiyo ni sababu bas haina haja kulalama. CCM tushawamaliza hawana ubavu kutufunga mdomo tena. Kikubwa elimu yetu ya uraia isiishie mikutano tu pia one to one na watz wote wajue. Mimi nafanya hata katika daladala au vijiweni
 
Duh hizi siasa zetu hazivutii hata kidogo kwa mwendo huu mbona ndo kuipa cdm umaarufu wa rahisi kwa mwendo huo kwann wasiwaache wakusanyike mwisho wa siku wakimaliza kilicho wakusanya watarudi zao makwao
 
watafunga mpaka midomo ya watu,lakini hawatafunga mabadiliko,hii ni sauti ya MUNGU,shetani hana uwezo wa kumshida
MUNGU, jaribuni uwanja wa reli,au nao lao ni moja?.
 
Viwanja vya Railway pale ambapo Mwakasege anafanyaga mikutano yake..ni eneo kubwa sana

Hata kama viwanja vingine vipo lakini hii hali ya kuminya demokrasia kwa kutumia hila inabidi ikemewe kwa nguvu.......................so unfair
 
Wao wana pesa na jeshi sisi tuna Mungu. Kumbukeni siku zote sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. siku moja watakuja kujutia haya wanayoyafanya sasa kudhibiti nguvu ya Umma
 
Uwanja wa nmc jijin arusha umefungwa rasmi kwa kile kinachodaiwa ni kuizima chadema jijini arusha. KUfungwa kwa uwanja huo ni siku moja kabla ya rufaa ya mbunge lema na wakati ambapo chadema ilitarajia kufanya mkutano wake katika uwanja huo hii leo.

Haya sasa
 
IMG_1251.JPG IMG_1254.JPG IMG_1250.JPG IMG_1253.JPG IMG_1255.JPG

hivi ndivyo palivyo NMC leo.......
 
Wao wana pesa na jeshi sisi tuna Mungu. Kumbukeni siku zote sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. siku moja watakuja kujutia haya wanayoyafanya sasa kudhibiti nguvu ya Umma
 
Saa nyingine huwa najiuliza kama kweli hawa watu wa nchi huu wanafikiria kwa kutumia mioyo au vichwa? Uwanja huo ni wa wazi kwa ajili ya public gatherings and mambo mengine, sasa wanaufunga ili iweje? Haya yote wakulaumiwa ni mtz wa kawaida kwa kukubali akili ndogo itawale akili kubwa!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom